Sauti:Repoti za mabadiliko ya Katiba Zanzibar

Written by  //  10/08/2010  //  Sauti  //  2 Comments

1.Repoti ya Ally Saleh:
Baraza la wawakilishi la zanzibar limeanza kikao leo kwa ajili ya kujadili na kupitisha muswada wa katiba wenye kukusudia kuruhusu kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa visiwani humo ikiwa ni njia ya kuondosha vurugu za kisiasa zinazotokea kila kipindi cha uchaguzi…lakini pia baraza hilo litafanya marekebisho ya katiba
ambayo yanaweza kuishitua rubaa ya siasa nchini tanzania. Ally Saleh wa BBC anafanya tathmini ifuatayo.
 
2.Repoti ya Salma Said:
 

2 Comments on "Sauti:Repoti za mabadiliko ya Katiba Zanzibar"

  1. kitamli 10/08/2010 kwa 9:59 mu ·

    assalaam allaykum akhwan huu ni mwanzo mzuri kwa wajumbe wa baraza la wawakilishi kuonesha kuungana kwao katika kupitisha mswada wa kuundwa kwa serikali ya kitaifa, hii ni dalili nzuri kwa hakika pia kuweka wazi kwamba zanzibar ni nchi,imani yangu kuna mengi yatatizamwa upya katika kurejesha kuipa nguvu zanzibar kama ni nchi kamili, shime wawakilishi shime wazanzibari.

  2. Ghalib 10/08/2010 kwa 1:01 um ·

    A/alaikum
    Dalili ya mvua ni mawingu,kuna mwanzo mzuri mpaka sasa kutoka kwa viongozi wetu ambao wakipiga kifua na kuhakikisha mambo yanafanyika kama yalivyo ahidiwa,nawatakia kazi nyema amin.

Comments are now closed for this article.