Sauti:Repoti za DW Swahili – Kura ya maoni
Written by administrator // 01/08/2010 // Sauti // 1 Comment
Sikiliza repoti hizo zikiripotiwa na Salma Said:
Maoni ya Wananchi mbali mbali:
Written by administrator // 01/08/2010 // Sauti // 1 Comment
Sikiliza repoti hizo zikiripotiwa na Salma Said:
Maoni ya Wananchi mbali mbali:
One Comment on "Sauti:Repoti za DW Swahili – Kura ya maoni"
DOWANS KWANZA WATANZANIA BAADAE? “AMEN”
Rostam Aziz ni moja ya nguzo kuu ya Dowans, na hakuna shaka kun amasirahi ya vigogo wengine nyuma yake. kwa akili zzakawaida huwezi kuitofautisha Dowans na Richmond, hawa ni watoto mapacha. Ofisi ya msajili wa makampuni nchini Costa Rica, katika barua iliyosainiwa na Marianela Jimenez akimwandikia katibu wa bunge la tz ilikana kuitambua kampuni ya Dowans ambayo walikuwa wanadai imesajiliwa huko.
Haina shaka kabisa kuwa, Rostam ni mmoja wa watakaofaidika na mabilioni Sh. 94 kama inavosemekana alikwapua Pesa EPA bilioni zaidi 40 kupitia kampuni ya Kagoda Agriculture Limited. Tarehe 17 Februari 2008, Rostam alikana kumiliki aina yeyote ya hisa kwenye makampuni matatu – Dowans Tanzania Limited, Dowans Holding SA na Richmond. Alikana pia kufahamu wamiliki wa makampuni hayo, kama ndivo ilivo! inakuwaje “amepewa” nguvu ya kisheria (Powers of Attorney) ya kusimamia shughuli za kampuni hiyo. kwa mtu mewnye akili anaweza akasema, Rostam anashirikiana sana na baadhi wa viongozi wa wetu wa ngazi za juu na ndo maana haguswi. Rostam na wenzake wameziweka wameiweka serikali mfukoni mwao na akili za Watanzania wanazisaka waziweke mifukoni pia. Nukuu kutoka kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali ambao wamepata kuisema Dowans:-Waziri mkuu Mweshimiwa Mizengo Peter Pinda:- WAMILIKI WA DOWANS NI VIGOGO WACHACHE WANAOITAFUNA NCHI YETU BILA HURUMA. Spika Samwel Sita:-KUILIPA DOWANS NI SAWASAWA NA KUHUJUMU UCHUMI WA NCHI. Waziri mkuu msitaafu:- David Cleopa Msuya:- Wtanzania tuseme hatutaki kuilipapa dowans, na alisisitiza kuwa Mwalimu Nyerere angekuwepo angesema “Hatuilipi Dowans”. Dr Harison Mwakyembe (BM) na aliyekuwa mwenyekiti wa tume teule ya kuchunguza mkataba wa Richmond, alisema ndani ya bunge la Tanzani:-Kampuni ya Richmond ni ya kitapeli kwa maana hiyo na Dowans ni kampuni ya kitapeli na wwanaoikumbatia ni matepeli, mafisadi wahujumu uchumi na wasiokuwa na uchungu wowote kwa Tanzania na Watanzania wote kwa ujumla wao. Nauliza, swali:- hivi kwanini serikali wakiwemo baadhi ya viongozi waandamizi wanaiogopa sana Dowans? Kwanini waliiogopa Kagoda Agriculture Limited iliyokwapua biliono 40? Kuna nini hapa?
TUNAOMBA MASHILIKA YA KIMATAIFA MTUSAIDIE KUHOJI MAMBO HAYA KWA KUYAJADILI NA WADAU MBALIMBALI DUNIANI. REDIO YA TAIFA LETU IMETEKWA NA SERRIKALI ILIYOKO MADARAKANI. NAFIKILI MNAKIELEWA KILICHOMPA “TIDO MHANDO”
ASANTE NA MUNGU AWABARIKI