Sauti:uchaguzi wa amani visiwani Zanzibar
Written by administrator // 07/09/2010 // Sauti // 8 Comments
Na Salma Said,
Wadau wa uchaguzi mkuu Zanzibar leo walikutana katika mkutano uliofanyika hoteli ya Ocean View wa kujadili namna ya kuingia katika chaguzi kwa salama mkutano uliowashirikisha wanasiasa, viongozi wa dini, waandishi wa habari na vyombo vya usalama.
Mkutano huo ulizungumzia umuhimu wa amani na utulivu katika uchaguzi hasa wakati wa kampeni zinazotarajiwa kuanza rasmi siku ya ijumaa mwezi huu ambapo kila chama kimeweka tarehe yake ya kuzindua kampeni zake.Mkutano huo umelenga katika kuhakikisha kwamba kampeni za uchaguzi hazitawaliwi na matumizi ya lugha chafu, uchochezi na vurugu kama ilivyokuwa katika chaguzi zilizopita Akifungua mkutano huo mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) Dk Karna Soro amesema ‘amani sio neno amani ni vitendo’ hivyo amewataka wazanzibari kuingia katika uchaguzi wa amani.
Sikiliza mjadala huo:
Source:
DW-Swahili





8 Comments on "Sauti:uchaguzi wa amani visiwani Zanzibar"
Bw Said Soud-AFP wa Chama cha wakulima kusitowe vigezo vya Ruwanda na Wazanzibar wazanzibar ni wastarabu na niwatu wanao juwa nini wanafanya. Na kama walitaka Zanzibar iwe Ruwanda ingekuwa leo haitawaliki kutokana na vitimbi vya ccm na ZEC yake. Na kushirikisha vyama vengine sio lengo la kuifufua Zanzibar mpya na kuleta hadhi ya Zanzibar na Wazanzibar. utapia mlo wako usije kusababisha vurugu zidi ya vyama vya Bara ambavyo likija suala la Muungano huwa ni Wakereketwa wa Ccm. Na hatujawahi hata siku moja kulala Bandarini kuzuwia Jeshi na vifaa vya kijeshi kupelekwa Zanzibar kua wazanzibar.kwa hio Bw Soud watu wako ktk mapambano ya kudai uhuru wao sio utapia mloo.
Watu wengine wapo Duniani kufanya fujo tu wala sikitu chengine. Mtu kama Said Soud, ukimuuliza kwamba nioneshe hayo matawi ya Chama chako AFP Unguja na Pemba, nina hakika kuwa hana hata tawi moja.
Unaweza kumuuliza Bwana Said, hebu naomba unioneshe viongozi wa Chama chako kuanzia ngazi ya tawi, wilaya na mkoa kwa Zanzibar nzima yaani Unguja na Pemba. Naamini hana hata mtu mmoja na kama wapo hawapati hata watu mia moja.
Watu namna hii wapo duniani kwa ajili ya fujo na karaha. Said Soud ni mgombea urais wa Zanzibar kwa mwenvuli wa AFP naamini baada ya kura yake kumchagua yeye kama Rais wa Zanzibar, hapati kura nyengine, hata ile kura ya mama watoto wake nina hakika haipati. Mama watoto wake ni cuf damu.
Inshallah.. nitakuwa Zanzibar kuanzia oktoba 20,2010 kwa lengo la kuangalia mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu. Nitajitahidi kuandika kupitia Mzalendo.Net
Habari zangu zitakuwa na tafauti na zile za waandishi wa habari wa Magazeti, Redio na kadhalika. Nitajaribu kuandika na kulenga zaidi matukio, visa na mikasa ili kuwafurahisha na kuwachangamsha kwa mambo moto moto “latest or Breaking News”, wasomaji na wachangiaji wa mzalendo.net
Kwa kuwa Said Soud kwa mujibu nilivyosikiliza hii habari ya Salma Said, hana hata imani ya nchi yetu wala hajui yeye mwenyewe anafanya nini na watu wanafnaya nini. Nitajitahidi kutaka kujuwa atapata kura ngapi na za nani. Siamini kuwa ataweza kupata zaidi ya kura mbili.
Kuongozwa na mtu kama Said Soud ni bora uongozwe na punda…
Albattawi
Nimesoma hapa unataka kwenda nyumbani kuangalia mwenendo wa uchaguzi na kutupasha hapa mzalendo. Hili ni wazo zuri sana kupasha taarifa motomoto kadri zinavyojiri katika kipindi hichi muadham.
Naomba niandikie email katika address yangu hapo mzalendo (ashakh@mzalendo.net) nina mazungumzo (maongezi) nawewe ikiwa utanafasika.
Asslam aleykum wazalendo Tena huyu Bwana SUDI ni wakuogopwa kama UKOMA hafai katika jamii ya Kizanzibari eti Zanzibar anaifananisha kama Ruanda ee bwana we huna watu usiitishe jamii hakuna lolote litakalo tokea kwa kutopewa wewe nafasi katika Serikali mpwa .
Watu wataunda serikali na wewe hupati kitu na hufanyi lolote .Nadhani si wakuogopwa ni wakupwuuwzwa tu .
Hassan10:
Hatma ya Amani na Utulivu Zanzibar iko ktk mikono ya ZEC
Hatutokuwa kimya ZEC kuvuruga uchaguzi kwa kuegemea chama tawala.03 00 Saturday Wiki Hii – 04 11 2000
Share and Enjoy:
1 Maoni Hatma ya Amani na Utulivu Zanzibar iko ktk mikono ya ZEC
*
seif
07/09/2010 katika 11:21 um · Jibu · Hariri
ZEC,mara hii mukija mukiharibu uchaguzi basi tutawashuhulikia nyinyi pamoja na familia zenu. Hatuto andamana wala kupigana na polisi, bali tutawafuata nyinyi majumbani kwenu kuidai haki ya wazanzibari. Ole wenu mukija kuvuruga uchaguzi mara hii. Tunajua ZEC ni Kombo, Juma na asha na wote wanajulika wanapokaa pamoja na familia zao.Zanzibar kuna amani sasa hivi lakini nyinyi ZEC mukija kuleta za kuleta mutaona cha mtema kuni,TUTAWASHIHULIKIA NYINYI NA WATOTO WENU.
A/A wana ukumbi,
Huyu Said Soud Said, mimi ninamfahamu nadhani huenda ikawa kuliko mtu mwengine hapa ukumbini, lakini muda hauniruhusu kumzungumza kwa sasa kwani nina dakika 10 za kujitayarisha niweze kutoka.
Mungu akinijaalia Kesho nitamuelezea kidogo.
Mungu ibariki Zanzibar
Assalam alaykum!
Mimi napenda kuelimishwa kidogo. Najuwa kabla ya kura ya maoni kupigwa kuna mambo mengine yaliangaliwa, ukiwemo mfumo gani wa serikali, ama sivyo? Masemina, maredioni, magazetini, mahojiano ya watu binafsi na vyo vya habari, makombano ya ndani na nje, yote haya yalikuwa na lengo la kutowa elimu kwa mpiga kura. Mwanzoni sote tulikuwa hatuelewi chochote ya ya serikali hiyo umoja wa kitaifa, sasa kidogo tunaanza kupata picha.
Suali langu ni hili; Wananchi sio ndio waamuzi wa mwisho? Na hili la serikli ya umoja wa kitaifa na mfumo wake ulio tayarishwa, si ndio wananchi wametakiwa waseme kama wanautaka huu au wanataka huu wa Bwana Soud Said Soud?
Mimi naona Bwana Soud kama amechelewa, walikuwa na fursa ya kupigania hilo, sasa kama wananchi walio wengi wamesema hapana kwa serikai aitakayo yeye na vyama vyengine vya Tadea, Jahazi asilia… Ingekuwa kuna shutma za uharibu wa kura za maoni, basi hapo angeweza kujenga hoja.
Huyuanafikiri tumesahau. 1995 yeye na genge lake, wakishirikia na Marehemu Dr Omar, walkipigia debe sana chama cha CCM. Walitumiliwa, kumkashifu Maalim Seif, wakapata mapesa, wengine wakafunguwa miradi, wengine wakaiba mapesa bankmikopo haramu), wengine wakaishia U nako kukawashinda, CCM ikawatimuwa. Soud huyu baada a kufukuzwa CCM, hatari kweli, hata haya hana, akatak kujiunga CUF. Wapi CUF wakamuambia hatutaki uzoga. Mikutano yote ya CCM kwenye kampeni za CCM, basi utamuona kwenye kiriri, Omar Awes Dadi, Komba yule kijana wa kiarabu, Soud, Kwacha nk nk. Asubuhi ukipita ofisi wa waziri kiongozi wamejipanga nje … Kama vile anasubiri resheni ya chakla….
salaam,mimi namumba kaka yangu said sudi katika kampeni zake zisiwe za kashfa juu ya maalim seif kama alivyozea mara hii akijaribu nitatoa siri zake alizokua nazo,