Maoni kwenye: Habari kamili:Kura ya maoni Zanzibar

Kwa: Seletochiy
mwanzo mgumu

mimi siwalaumu sana walotia hapana hawa watakuwa ndugu zetu wa ccm ambao wanahitaji kuondolewa mawazo mapotofu waliojazwa tangu enzi za siasa chafu.

wanahitaji kuelimishwa zaid na zaid

Kwa: Bostoki
@Mpapani

Ulivyomfahamisha ndugu Ahmed ni sawa, lakini na mimi nahisi kama record zilizowekwa kwenye ule mtandaona wa ZEC ziko sawa, basi asilimia ya NDIO – 66% na HAPANA- 34%.  Sasa sijuwi 66.4 imepatikana vipi. Mimi hesabu zangu za vidole ni kama ifuatavyo:

VALID VOTES – 266,064

YES VOTES – 175,476 / 266,064 = 65.952 (SAY 66%)

NO VOTES  – 90,588 /  266,064 = 34.047 (SAY 34%)

TOTAL                                      100%

Any way, la muhimu ni kuwa tumeshinda kwa zaidi ya 65% ambayo binafsi nahisi ni asilimia kubwa.

Alhamdulillah, hatuna budi kumshukuru Allah kwa kutukubalia duwa zetu.

Kwa: mpapani
shekh Ahmed A.Rejected (spoiled)votes huwa ziondolewa katika hisabu na kubakishwa kura sahihi tu,katika kupata  pacentage za mshindi na aloshindwa,Hujulikana tu ni asilimia gani katika kura zilizopigwa.Ili kuwaka hesabu sawa ya watu walojitokeza.hubakihwa hesabu ya kura sahihi tu

Kwa: Bosco
@ mrfroasty  kuhusu asilimia, hapana tatizo kwani wametoa idadi ya watu waliojiandikisha, waliopiga kura,kura zilizoharibika,na kura halali. Kwa kutumia kura halali yaani kura zilizopigwa zilizobaki baada ya kutoa zile kura zilizoharibika ndio wamechukua percentage ya zilizosema ndio na percentage ya zilizosema hapana kwa kutumia kura halali.  Mimi mashaka yangu ni kua watu wengi hasa unguja hawakupiga kura au hawa ndio mapandikizi wa kutoka bara wanasubiri uchaguzi wa october?

Kwa jumla majimbo mengi ya unguja watu waliopiga kura ni kati ya asilimia 60-65% ya wale waliojiandikisha tafauti na pemba asilimia kati ya 70-80% ya waliojiandikisha wamepiga kura. Kwa znz yote ni 70% wastan ya waliojiandikisha wamepiga kura. Kwa unguja wastan wa 56% wamesema ndio na kwa pemba wastan wa 88% wamesema ndio. Kilicho nifurahisha zaid ni kua ktk jimbo alikozaliwa maalim seif, 95.1% wamesema ndio hili ndio jimbo ambalo ndio imeshinda kwa wingi zaidi kuliko majimbo yote ya znz.

Kwa: Ahmed A.
A/A ,Namshukuru Allah kwa kutujaalia afya nzuri natusherehekee kwa aman ushindi

tulioupata iwe ndio chanzo cha taifa la ZANZIBAR.

Mimi binafsi nina mashaka na matokeo ya tume katika kura ya maoni.

Matokeo waliyoyatoa ni 66.4=NDIO na 33.6=HAPANA,sasa  asilimia

ya kura zilizoharibika ziko wapi?

Kwa: Seletochiy
kwanza ramadhani

ndugu yanfu ashakh usiwe na pupa kwanza tunaikaribisha ramadhani halafu eid halafu tutasheherea serikali sio kura ya maoni.

kumbuka znz tulilima ramadhani na inshaallah tuyavuna ramadhani inshaallah

Kwa: ashakh
Sasa wazalendo tumetayarisha kiburudisho gani kusherehekea ushindi huu.

Rusharoho, beni, kidumbak, msewe, taarab, au…..

Nyoyo nazo zinataka kutulizwa, angalau wale wa Copenhagen, Oslo, Amsterdam, London, Paris, Toronto, NewYork, wajione kama vile wako ngome kongwe. Wa Dubai na Mascut wao hawako mbali ni ziko nyingi tu wanaweza kujipumbaza.

Kwa: wewe5655
alhamdulilah kwa kutukubaliya duwa zetu za ndio ningeomba tukafanya sala ya kumshukuru mungu kwa hili

naomba kuliza wazalendo inabidi hii serekali ya MAPINDUZI haitokuwepo tena ?jee kutakuwa na jina jipya?

Kwa: zamko
Ahsanteni sanandugu wachangiaji.

mimi sina budi ila kumshukuru (ASW) kutpatia nuru hii ya kukubali Serikali ya Umoja Zanzibar hii ni alama njema Amin. Lakini nawakumbusha ndugu wazalendo wa ndani na je ya Zanzibar kwamba, tujifunge vibwe-bwe na tuendelee na safari yetu. Hii niktokana nakwamba “BADO HATUJAFIKA TUNAKOTAKA KWENDA”

1.tuanze campain  zetu mpya za kura ya October, ambayo itaweza kutubadilishia itatubadilishia uongozi uliopo sasahivi. Hili DuDu linalotwa “CCM” mimi binafsi sitaki kulisikia tena katika Visiwa vyetu. Kwani limekuwepo kwa miaka 33 sasana halikutuletea muafaka wala masikilizano. Ila hasama na ufataghani miongoni mwetu.

Campaign tulizozifanya kwa kupitia  Harambee za Mzalendo mpaka tukapata matokeo ya kura ya MAONI YA NDIO. Ndio hizo hizo tutakazo zitumia tena katika kipindi hichi kifupi ili tupate ushindi wa uchaguzi wa OCTOBER.

2.Kama Tunavojua michango yetu haikupotea ila imenufaisha kwakupeleka ujumbe. NGAO NDIO Hiyo hiyo na wembe ndio ule ule. Tutumie TV, Redio na magezti(Mediar Reports) kueneza habari za uchaguzi mkuu. Uchaguzi huu ndio utakaotupa hatima yetu na Identity yetu ambayo imepotea kwa muda mrefu sana. Mpaka ukaitwa ADOPTION CHILD NA WATANGANYIKA. …..AS IF WE ARE ONE OF THE SMALL REGION FROM NO WHERE; AND WE HAVE BEEN ADOPTED BY THE TANGANYIKA. ITS HORRIBLE.

3.Waznzibari kumbukeni ZEC imetoa matokeo haya kwasababu imefanya kazi na Kamati ya Watu sita ambayo walichaguliwa watu 6 kushughulikia suala ilila Kura ya Maoni tu. Na ndio maana matokeo hayakua na mizengwe yoyote ile. Sasa uchagzi  mkuu wa Uraisi na Wabunge ZEC hiyo hiyo ndio inafanya kazi. Na iko peke yake, haina tena kamati yoyote ile yakuisaidia/ kuiongoza/kuiyangalia.

Wazalendo tumepatiwa Website ya ZEC, tuanzeni kuwatia presureZEC watuletee uchaguzi wa Haki na Amani. SISI Tlioko nje ndio tunaweza tukairekebisha ZEC.

Kwa: Jabir Idrissa Via sms
A.A Majimbo ambako HAPANA zimeipita NDIO NI Amani, Uzini, Chaani, Chwaka, Kwahani, Dole, Makunduchi na Muyuni.Donge ndio zimezidi.

Jabir Idrissa, Mhrr (Mwanahalisi)