Dharau kebehi zaendelea dhidi ya Zanzibar!

Written by  //  20/08/2010  //  Habari-Picha  //  4 Comments


Tzdaima yazidi kuendeleza dharau dhidi ya Zanzibar kwa kuishusha hadhi yake na kuita Zanzibar ni mkoa!

4 Comments on "Dharau kebehi zaendelea dhidi ya Zanzibar!"

  1. ukwelituu 20/08/2010 kwa 12:04 um ·

    tunaomba baraza la wawakilishi warejeshe mfumo wa kuingiya zanzibar iwe kwa viza.nafikiri hii itakuwa tosha kuita znz ni mkoa.shenzitip mwandishi

  2. Bosco 20/08/2010 kwa 2:00 um ·

    Tanzania daima ni gazeti la CHADEMA na hawa chadema hata sera yao kuhusu muungano inachanganya mara wanasema serikali 3 mara kama serikali tatu haiwezekani basi bora serikali moja. Wanasema baadhi ya viongozi wao. Naona wamechanganyikiwa hawajui lakufanya.

    ZANZIBAR DAIMA

  3. zamko 20/08/2010 kwa 2:17 um ·

    @ukwelituu: hata mimi naona Serikali inayokuja ishughulikie habari ya immigration kwanza kuliko yote. Na hawa watu wa Tanganyika wataingia na Pasiport na sisi tukienda kwao kwenye (Tanga-La-Wanyika )tutaingia na Passport zetu kama zamani ilivokua. Na wale waliokua wamejenga makaazi Unguja wawe na Identity yenye kurejistiwa na sisi wacha wawafanyie ndugu zetu waishio bara hivo hivo.

    otherwise muungano basi.

  4. mchongoma 20/08/2010 kwa 6:09 um ·

    Hizi Dharau, kebehi na takabbar dhida ya ZANZIBAR; kwa mtazamo wangu naona ni kejeli nzito sana kwa kuwafanyia viongozi wetu pamoja na wazanzibari wote kwa ujumla. Sababu, wameshatuona kuwa wazanzibari hatuna kauli thabit; yaani tabia zetu ni [HEWALA BWANA] kwa kila wanachotaka wanafanya kwa upande wao huwa ni sahihi, lakini kutoka upande wetu [ZANZIBAR] tukifanya jambo dogo lenye masalaha na nchi yetu,
    huo upande wa pili huanza kutoa vitisho na hatimae huitwa [MAKHAIN]
    Tukitaka kuwafanya wenzetu wajuwe kuwa hii ni nchi? ni lazima turudishe ule mfumo wa zamani ulokuwepo na iwe hivi:- Mtanganyika yeyote akitaka kuja zanzibar, lazima awe na passport yake rasmi,akiingia ipigwe muhuri na akitoka vile vile na itampasa kupewa muda fulani wa kukaa nchini.Na wale ambao wanataka kuishi zanzibar itawalazimu wafanya RESIDENCE VISA.
    Hii sikitu kigeni dunian, kila nchi huwepo mpango huu.Sasa wenzetu na wao wakifanya kama hivi [ahlan wa sahalan].Tuniaomba sirikali yetu ya mapinduzi ichukuwa hatuwa hii na kuanzisha mpango huu kwa haraka kama inavyo wezekana, iliipungue zogo, ujambazi na jarima inayotokea hapa Unguja na pemba.

    Twamuomba m/mungu atupe nguvu tuifunge Ramadhani, Atupe utulivu, amani na subra moyoni, Tuwe wanyenyekevu kwake rahmani, Tukubaliwe dua zetu tunazo ziomba misikitini, Tuigomboe ZANZIBAR yete ilio tawaliwa na JIRANI

    RAMADHAN KAREEM

Comments are now closed for this article.