Kijana Seif Salim Said
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 19/08/2010 // // No comments
Miaka 16 Amehifadhi juzuu 5, tashjee.Kijana Seif Salim Said Mwenye Umri wa Miaka 16 akishindana katika mashindano ya Quran kwa mtindo wa Tashjee,
Kijana Seif ni mlemavu wa macho [Kipofu] nae amehifadhi juzuu 5 kwa mtindo huu wa tashjee.




