Picha:Balozi wa Marekani atembelea BLW
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 23/08/2010 // Habari-Picha // 1 Comment
1892: balozi wa marekeni nchini tanzania, Alfonso E. Lenhardt akiongea na wandishi wa habari baada ya kutembelea Baraza la Wawakilishi huko Mbweni Zanzibar jana. Kulia Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi, Ali Mzee Ali ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya watu 6 kuhusu kura ya maoni Zanzibar.
Picha na Martin Kabemba.
1946: Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso E. Lenhardt akiagana na Mwenyekiti wa kamati ya watu sita kuhusu kura ya maoni Zanzibar, Ali Mzee Ali jana.
Picha na Martin Kabemba
1927: balozi wa marekani nchini Tanzania, Alfonso E. Lenhardt akiwa katika picha ya pamoja na wandishin wa habari baada ya mazungumzo nao alipofanya ziara ya kutembelea Baraza la Wawakilishi Zanzibar jana
Picha na Martin Kabemba










One Comment on "Picha:Balozi wa Marekani atembelea BLW"
Viongozi wetu hawako serious, angalia alivyochoka huyo Ali Mzee mwenyekiti wa baraza la Wawakilishi. Unategemea nini hapo?