_DSC0127
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 20/08/2010 // // No comments
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Zanzibar alipowasili Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kwa ajili ya kwenda kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi ZEC Maisara mjini Zanzibar leo.




