_DSC0130

Written by  //  20/08/2010  //   //  No comments

(Picha na Amour  Nassor )

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Baadhi ya Wazee waliofika katikaOfisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kwa ajili ya kumsindikiza Tume ya Uchaguzi ZEC kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar leo.

Leave a Comment

You must be logged in to post a comment.