_DSC0166
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 20/08/2010 // // 1 Comment
Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM, Wananchi wa Zanzibar pamoja na Askari wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, wakilisindikiza Gari lililombeba Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akielekea katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC kwa ajili ya kuchukua Fomu za kugombea Urais leo.





One Comment on "_DSC0166"
As,alaikum Wanzanzibar wenzangu,Kwakweli roho inaniuma sana nikiona hawa mipolizi na mibunduki yao, nafikiria mwaka 2000 nilipokua nyumbani Pemba wakati wa vita, sito sahau milele. Pia namfikiria sana rafiki yangu ambae alipoteza uhai wake kwa hawa mipolisi laanatu ALLAH.Mimi nawambia Wanzazibar wezangu uchaguzi huu iwe meno kwa meno wla sio jino kwa jino. Hawa nyoka hawaaminiki!!hawamjui mama wala baba.Mungu ibariki Zanzibar na watu wake.