_DSC0180
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 20/08/2010 // // No comments
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akionesha Fomu za kugombea Urais mara baada ya kukabidhiwa Fomu hizo na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Hatib Mwinchande katika Ofisi ya Tume hiyo Maisara mjini Zanzibar leo.




