_DSC0181
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 20/08/2010 // // No comments
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Hatib Mwinchande akimkabidhi Fomu za kugombea Urais wa Zanzibar Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, alipokwenda kuchukua fomu hizo katika Ofisi za Tume hiyo leo.




