_DSC0195
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 20/08/2010 // // No comments
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Fomu za kugombea Urais Mkuu wa Utawala Ofisi KUU YA CCM ZANZIBAR HATIB REJA KWA AJILI YA KUTAFUTA WADHAMINI.




