Wagombea wa CUF muungano
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 19/08/2010 // Habari-Picha // Zima maoni

Mgombea Urais wa Chama Mbadala nchini Tanzania, CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, akiwa na Mgombea mwenza wake, Juma Duni, wakiwapungia maelfu ya wanachama na wapenzi wa CUF mara baada ya kurejesha fomu za uteuzi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa, Jaji Lewis Makame, leo hii kwenye ofisi za Tume, mjini Dar es Salaam
Chanzo:FB – Jussa






