IMG_6059
Written by administrator // 31/08/2010 // // No comments
MGOMBEA Urais wa chama cha NRA Haji Khamis Haji akimkabidhi ya fomu urais Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Khatib Mwinyichande baada ya kukamilisha taratibu zote za ujazaji fomu hiyo.




