Habari

SMZ haina pesa za kuwapa mikopo wanafunzi wa Vyuo vikuu

ZANZIBAR: Rais Bandia wa Zanzibar Balahau Shein amesitisha utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu mpaka Serikali ijiridhishe na utaratibu wa utoaji mikopo hiyo.

– “Hatutatoa mikopo mwaka huu mpaka hapo tutakapokamilisha kazi ambayo tumeanza kuifanya ya kupitia upya utaratibu wa utoaji mikopo hiyo ili kuhakikisha inatolewa kulingana na mahitaji ya sasa ya nchi na kwa wanaostahili,” amesema Balahau Shein.

Tagsslider
Share: