Tanzania bado tunaendeshwa na mfumo ule ule wa chama kimoja

Written by  //  10/11/2010  //  Habari  //  2 Comments

Ikiwa Wtanzania hatukubadilika na tukadai katiba mpya yenye kukizi mfumo wa sasa wa multi parts,Basi ccm itatawala maisha na utawala wake utakuwa ni wa kurisishana maisha.
Kuna mambo mengi hayaendani na mfumo wa multi parts. Mfano Tume ya uchaguzi imetawaliwa zaidi kichama kuliko ki-Serekali. Haiwezekani kabisa kuwa Tume inachaguliwa na Rais na Rais huyo huyo anaomba ridhaa kwa Tume?. au Mfano mwengine ni kile kilicho tokea visiwani Zanzibar Mzee Mwinyi na Mh Benjameni Mkapa ku-high jack uchaguzi kwa kutumia nguvu ya chama na wazifa wa mtoto wake kuwa ndio waziri wa ulinzi.
Tumshukuru sana Maalim Seif kwa busara yake na hekma yake lakini hii ile ingekuwa kama sioMaalim Seif kukubali kushindwa na kuwatuliza Wzanzibar ingekuwa Tanzania tunazalisha tena wakimbidhi na kuleta maafa ya umwagaji damu wazanzibar.
Mimi nahisi nikiasi Mh Kikwete kumpongeza sana Maalim Seif kwa uzalendo wake wa kuinusuru nchi na mafa aliokuwa kayakusudia Mzee wetu Ruksa.
Mzee huyu tayari ana umri usio pungua miaka 80 kwa hio ukifika umri huo unaweza kufanya chochote bila ya kutokutumia akili yako. Ingekuwa kuna mauwaji yoyote basi nazani wakulaumiwa sio yeye ni Amiri jeshi mkuu Mh Rais Kikwete asingeweza kuipuka mafaa hata kwamba angekuwa nyuko ktk mbio za uchaguzi ingebidi abebe lawama.
Kwa hio Wtanzania tubadili katiba na mfumo huu wa chama kimoja kuwa na mamlaka ya kuitawala Tume na kuwa ni kitengo chao cha kuwapatia uchindi, Wtanzania nilazima Tume isiwe wakuu wake wana teuliwa na Rais na pindipo pakitokezea makosa yoyote ni lazima Tume iwajipishwe kicheria na isiwe tume ndio yenye mamuzi ya mwicho.
Ikiwa Wtanzania tutafanya hivyo itakuwa tumekidhi mfumo wa vyama vingi na tunaweza kuleta mabadiliko makubwa ktk nchi yetu.
Chaguzi nyingi huwa zina mashaka makubwa kutokana na mfumo tulio nao ni mpovu uliokuwa unaegemea mfumo wa chama kimoja na haukidhi na mfumo wa sasa wa multi parts.
Hakuna uchaguzi watanzania tutakao chinda kama hatuja badilicha mfumo wa sasa, ili tuwe na uchaguzi huru na haki nilazima tubadilishe katiba bila ya kuto kufanya hivyo tunaweza kulipeleka pabaya taifa letu na tukaweza kusababicha machaka makubwa. kuna Wtanzania wengi wamevunjika hata moyo kutumia haki ya yao msingi ya kupiga kura na kuchaguwa Utu wanae mtaka na kumpa ridhaa yao, na hii nikutokana na mfumo huu tulionao bado ni wa chama kimoja chama tawala.
Takribani Wtanzania wote ni million 41 lakini walojiandikicha ni milioni 19 na wengi hawakujiandikicha kutokona na kujuwa wanahisi mamuzi yao hayaheshimiwi na haki zao hukanyagwa kanyagwa.

Comments are closed.