Vidio

Video:Mwandishi wa kiengereza akiripoti tukio la Mapinduzi

Administrator kama unaona hii video italeta utata iondoe tu hata sito lalamika,kwasababu kila mtu anamuone wake kuhusu mapinduzi ya Zanzibar

Lakini kwasababu ni moja katika mambo ambayo yamo kwenye historia Zanzibar nimeona bora niiweke, kilichonivuti mimi katika Video hii ni haya mahojiano kati ya Mohamed Abraham Babu na mwandishi wa habari

Kilichonishangaza Kwanini Karume sr alinyamaza kimya katika mahojiano haya na yeye alikuwa kama leder wa Mapinduzi,kwanini Okelo na Babu tu ndio walikuwa wakiongea

Huyu Okelo hawa akina Babu walimtoa wapi hajui kuongea Kiswahili wala English……

Share: