Video:Mchakato wa kura UK

Written by  //  26/05/2010  //  Vidio  //  2 Comments

2 Comments on "Video:Mchakato wa kura UK"

  1. Ghalib 27/05/2010 kwa 9:31 um ·

    A.ALAIKUM
    TUNAHITAJI TUIGE HII SYSTEM,MASUALA YA KWENDA KUPIGA KURA KISHA KUNA JESHI,NEVI,JKU,POLICE NJE YA SEHEMU YA KUPIGA KURA KWA KUWATISHA WANANCHI IYONDOLEWE,IWE MFANO KWETU,SIO KURUSHANA ROHO.

    PIA KATIKA SUALA LA KISIASA KUSIWE NA UVUNJIANJI HESHIMA,SIASA YA ULAYA NI SIASA YA MAENDELEO SIO KUPIGANA VIJEMBE MAJUKWAANI,HIO NI ISHARA YA KUWA HUNA LA KUSEMA ZAIDI PROMISS ZA UWONGO,SIASA YA KWELI NI ILE YA KULETA MAENDELEO.

    TUNAOMBA TUME YA UCHAGUWE KUWE NA USALAMA NA TARATIBU KAMA HII AMBAYO WAMEFANYA HAPA UK,SIO KUPIGISHANA JUA,NA KUVYIMANA HAKI KUPIGA KURA,PIA HII ITAPUNGUZA VURUGU KATIKA VITUO VYA KUPIGIA KURA.

  2. bahussein 09/11/2010 kwa 11:11 mu ·

    Tuige pia kila mtu akeshapiga kura aende kwake na tusiweke vikundi vikundi kwani hii ndio mara inoaanza kusababisha fujo,vile vile utoaji wa matokeo kabla ya tume ni moja inayosababisha fujo hivyo basi inafaa tuige hawa wenzetu waliokwishazoea mfumo huu ahsanteni.

Comments are now closed for this article.