Video:Siku Zanzibar ilipoweka Bendera UN
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 09/08/2010 // Vidio // 8 Comments
[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=8zoTMvOoeQo[/youtube]
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 09/08/2010 // Vidio // 8 Comments
[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=8zoTMvOoeQo[/youtube]
8 Comments on "Video:Siku Zanzibar ilipoweka Bendera UN"
a/a
wallah nimeiona hii video lakini kwa kweli inasikitisha sana jinsi kuona tulipotolewa hadi tulipo sasa wazanzibar na zanzibar yetu, inshaallah sasa wakti umefika kuturudishia ile hadhi yetu tulokuwa nayo hapo zamani.
ya rabii twaomba kwako dua3 hii uturejeshee hadhi yetu ya nchi ya zanzibar na watu wake pia .. ameen
yatia uchungu!!!
najuuuuuuuuuuuuuuta kuwafaham watanganyika!!
Inasikitisha,,
hii ni aibu kubwa kwa TVZ-mapinduzi daima, hivi kweli walishindwa kutuonesha hii kumbukumbu? nlichokiona mimi nilipokuwa mdogo, ukombozi wa mwafrika, Raisi Jumbe atembelea uarabuni, Doctor Ajubu, Nyerere kazaliwa Butiama, butiama wilaya ya Musoma,,(upuuzi mtupu)
Mambo ykutuonyesha walikuwa nayo lakini walikuwa katika huo mpango wa kuipeleka nchi kwa wa bara,ok
Ningeomba tuoneshwe siku kama hii ya bendera ya Tanganyika kwa UN
ZANZIBAR TUITAKAYO NDIO HIO.
KWA KWELI HIZI NDIO ZAMA ZA UKWELI NAANZA KUONA ZANZIBAR MPYA.HIVI VIONGOZI WETU WAMEWAHI KUIONA VIDEO HII NAAMINI WENGI HAWAJAWAHI HIVYO NAUOMBA UWONGOZI WA MZALENDO MFANYE JITIHADA KUIFIKISHA BARAZANI KABLA YA KIKAO HAKIJESHA ILI WAWAKILISHI WETU NAO WAIONE.
PIA IKIWEZEKANA ITOLEWE PIA KWENYE VYOMBO VYA HABARI TZ NZIMA KWA FAIDA YA WAZANZIBARI
A/a nashukuru mm naona watuwemefurahi sana nawatazidi kufurahi ishaallah sasa tujiulize sisis waznz wenzetu wawakatiule waliyojitahid kuyafanya nimengi na tutayaona mengi natunayasikiya mengi wakatihuu sisi kulokuwepo mimi na wewe tujiulize tunamchango gani kwa zanzibar mpya siyowakati wakulaumu ilikuwa vile na hivi niwakati wakuitangaza zanzibar hasa kimataifa haijulikani tujitahid kutafuta njiya yakuitangaza zanzibar amka mzanzibar ohooooooooooo.
aslm alkm kweli kuna mambo mengi hatuyajuwi ahsante kwa kutusononesha uloweka video hii imenigusa kweli. mzalendo tufungulieni chat room vidole vyatuwasha
waungwana hali zenu
kwanza inauma halafu inasikitisha kuona tulikua na bendera halafu ikashushwa na naamini kuna viongozi wetu wa nchi ila kwa kunywa maji ya bendera wamekaa kimyaaaaaa lakushangaza hata hiyo bendera ya zanzibar yetu iloshushwa sijui ka ma ndio hii ilopandishwa uwanja wa amani je? kwani kulikua na tatizo gani kurejesha bedera ile iloshushwa tukapata kutambulika vizuri kama wenye zanzibar bado tupu?
A/alaikum
Mbona jamani historia ya zanzibar mulikuwa munazificha na kutuba historia za uwongo mashuleni,leo hii ndio munaniletea hitoria kubwa sana ya zanzibar mabayo toka nizaliwe ndio naona leo,ni faraja kwangu kubwa sana kuona hii,nampa shukurani alieleta video hio,na namuomba atuletee zaidi ili tuweze kutambua historia ya nchi yetu
SASA NAULIZA HII BENDERA IMESHUSWA AU VIPI ? NA AMEISHUSHA MKOMA GANI ? INANITIA HASIRA SANA KUPOTEZA UZALENDO WANGU.
ghalib si mapinduzi daima hayo yaani historia yote ni kuanza mwanzo mpaka leo lakini usijali mambo yatafichuka zaidi
pia nilikuwa naomba kumjuwa alotuwakilisha siku hiyo hapoo ni mohd shamte Au Ali muhsin al barwan kenya huyo ni tom mboya