Habari

ZAWA UK

Zanzibar Welfare Association UK na Kampuni ya Zanzibar Fast Dispatch LTD, leo hii imetoa msaada wa Magoro 20 kwa Jumuiya ya JUMUKI huko Zanzibar, vile vile Jumuiya ya ZAWA UK kwa kushirikiana na Kamupuni hiyo inategemea kupeleka Laptops 20 kwa Ajili ya skuli za Unguja na Pemba.

Vile vile napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba wazanzibari wote kuwa mkutano mkuu na uchaguzi mkuu wa ZAWA UK utakuwa Inshaallah katika mwezi wa May, hivyo nafasi mbali mbali za uongozi zipo kwa kugomaniwa. ikiwamo ya Mwenyekiti hivyo shime jiandaeni na mjitokeze kwa Wingi Inshaallah

Hassan M Khamis

Mwenyekiti ZAWA UK

Share: