PROJECT:INTERNET KWA WAKULIMA WA ZANZIBAR
PROJECT:INTERNET KWA WAKULIMA WA ZANZIBAR
UTANGULIZI:
Project hii inalenga kusaidia wakulima wa Zanzibar katika maisha yao ya kila siku.
MALENGO YA PROJECT:
1.Kuwaonesha njia ya kufikia masoko ya nje
2.Kuwapatia elimu na mbinu za kilimo.Mfano utumiaji mbolea, jinsi ya kuhifadhi mavuno n.k
3.Elimu ya matumizi ya computer na internet katika maisha ya mkulima
MAHITAJI YA PROJECT KUSIMAMA:
- Tunahitaji Computer zisizopungua 5 za gharama ya chini.
- Jumba la kufungua Cafee yenyewe
- Walimu wa kujitolea kuelimisha wanavijiji:
- i).Kilimo
- ii).Masoko {yako wapi na jinsi gani kuuza bidhaa kwa usalama}
UENDESHAJI WA INTERNET CAFEE:
Gharama za uendeshaji;
- Gharama za jengo
- Gharama za umeme
- Gharama za Internet Connection
- Gharama za msimamiaji/mwajiri { 1-2 employees }
MAPATO YA CAFEE:
Kutoza watumiaji gharama {EXCLUDING VILLAGER’S TRAINING PROGRAM!}.Hapa tunaweza pia tumia watalii wanaohitaji Internet wakiwa Zanzibar kwa matembezi.
Kampeni yetu ni kuwa mtalii/mwananchi anatumia Internet kwa mahitaji binafsi anafaidika yeye, na vile vile pesa zake zinatumika kuendesha mradi.
WASAMARIA WEMA/(VOLUNTEERS NEEDED):
Tunahitaji misaada mbali mbali kutoka kwa serekali hadi sekta au watu binafsi.Kama unahisi unaweza tabaruk tafadhali tuachie maoni.Michango ni mingi kuanzia ya kifedha, kielimu n.k
Shukurani,
MZALENDO.NET – 2011



One Comment on "PROJECT:INTERNET KWA WAKULIMA WA ZANZIBAR"
Project discussion see this link