Hao wananchi ndio sie-Majibu kwa Bwana Makongoro
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 27/04/2010 // Makala/Tahariri // 2 Comments
Quote ya maneno ya Bwana Makongoro;
“It is normal. I do not see any serious issue threatening the union. Even if they alleged that people were not first asked to decide on the Union, that was not a serious issue to warrant the its death,” he told The Citizen, adding: “We do not have serious ideological differences to merit the breaking-up of our Union.”
For his part, Makongoro expressed confidence that the Union was there to stay and cautioned anti-unionists to wait for Wananchi to decide.
Bwana Makongoro ambae ni mtoto wa Dictator Nyerere, amerithi kila kitu.Kama tulivyoambiwa kuwa apple halianguki mbali kutoka katika matawi ya mti wake.Basi hakuna shaka nae hana tofauti sana na babake Nyerere.
Anasema kama inavyoonekana hapo juu kuwa hata kama watu hawakuulizwa, haina haja ya kuulizwa kwasababu yeye binafsi anapenda kuona rasili mali za Zanzibar zikihamishiwa Bara.
Hapa anaendele kwa kusema :
He said he finds it more meaningful to add other matters on the list of Union matters instead of reducing them as some people have been propagating. “The Union is entrenched in the hearts of the people. Those opposing the Union are narrowing their chances of becoming leaders,” he said.
Sisi ndio hao wananchi, na wala hatuna hamu ya kuwa viongozi.Hii sisi kutoa maoni yetu ambayo mumetubana na kutufungia magazeti, hii ni haki yetu ya kikatiba.Kwa bahati mbaya, naona wewe una mawazo mgando.Unafikiri kila mtu anataka kuwa kiongozi, sisi tunapinga muungano na tutaendelea na vita hadi siku hiyo mutapoamua kuitisha kura ya maoni dhidi ya Muungano.
Hiyo kujitia munasherekehea muungano umefika miaka 46, hiyo ni kwasababu mumewauwa kikatili wazee wetu wengi.Hii sio kudumisha muungano huku ni kuvunja haki za binadamu.Kwa bahati mbaya nasikia Baba ako alikunyima hata elimu, naona kama itakuwa nampigia mbuzi gita!Tafuta elimu japo ya watu wazima ujiendeleze, naona huna muelekeo.Watu wanajadili maendeleo, wewe na wenzako mumebakia na mawazo mgando ya siasa zile zile za miaka ya 60′s.
Muungano as long hauna faida za kiuchumi kwa Zanzibar, tutaendelea kupinga.Sasa mbona hatuano Tanzanite ikiingizwa kwenye muungano?Au kudumisha muungano ni kuchukua Mafuta tuu na kuyaingiza kwenye muungano?…Ewe Bwana Makongoro, hizi sio zama za miaka ya 60!….This is 2010, bado una sera za kudumisha uafrika







2 Comments on "Hao wananchi ndio sie-Majibu kwa Bwana Makongoro"
Like father like son. Naomba tuwekewe profile ya huyu mtu, ninamashaka na kuwa baba yake ni mwalimu halafu yeye awe hajaelimika mpka anaongea pumba, anasahau kuwa haki ya mtu haifi hata kama miaka itapita, anajuwa kuwa watu ahawajaulizwa na haki ya kuulizwa walikuwa nayo, bado anaona hilo si tatizo kwake…!!!
LEO NITAKUPA SIFA MOJA TU YA HUYO ANAYEITWA MAKONGONGORO NYERERE,NI MLEVI MBWA NA MVUTA BANGI SANA.HII SI POROJO<NIMEWAHI KUFANYA NAYE SHUGHULI FULANI ZA KIOFISI<HIVYO NIAONGEA KWA UHAKIKA.