Login



Fotos

Get the Flash Player to see the slideshow.

Migawanyo

Kumbukumbu

KISONGE KUFANYA MAPINDUZI?

Bilali chiniiiiiiiiii.

2010 rais wa ZANZIBAR kuwa mpemba.

Makelele ya kisonge yawa povu la soda!

Ubao wa kisonge hauandikiki

Watanganyika wapata wamtakaye!

Kisonge yawa bubu!,yanyamazishwa.

Haya yale makelele ya wana kisonge ya kuwa wao ni wanamapinduzi,yapo wapi sasa ,mbona kimyaaaaaa

Jee kisonge itafanya mapinduzi kurejesha heshima yake?

Share and Enjoy:
  • Facebook
  • Twitter
  • Digg
  • MySpace
  • del.icio.us

35 maoni KISONGE KUFANYA MAPINDUZI?

  • muwa

    hahaha nimefurahi sana maana uwamuzi wa nec kumbe kisonge na walewanaojifanya ccm wakereketwa mwisho msasani maana hiinoma sasa zilesafari zakwenda mashamba fukweni basi sasa ama kweli ccm inawenyewe hahaha
    natuwepole wewe ukimbaguwa mwenziyo nawe utabaguliwa

  • butiama

    A/ALEIKUM TAARIFA MAALUM SISI WANACHAMA WA MASKANI YA KISONGE TUNAREJESHA KADI RASMI JUMATATU SAA SABA MCHANA

  • abuunadiym

    kumbe doriani la kundi la dk bilali halichomimiba yake imekauka.

  • kijini

    namimi hahaha sana lakini hawa haawa ccm watavyogeuka mtaniambia tusijisahau saaana nibora muisrail kuliko ccm hawa sio

  • abuunadiym

    tunawaomba warejeshe kwa ccj ndio wenye kuhitaji wanachama zanzibar kwani hawana, huenda rabda wakipata usajili wa kudumu watampitisha mtu wao.

  • ukwelituu

    as
    rejesheni kadi mbio iwezekanavyo.halafu karibuni mtendeni kwenye ofisi ya cuf kadi zenu ziko tayari mnakaribishwa kwa nyote.ili tupate kutiya kura ya NDIO.Wakati umefika 2010 tuwaanzeni na mwaka mpya na zanzibar mpya.ZANZIBAR INAHITAJI IEKWE GOLD NA SIO CHENI (SHENI).

  • sedouf

    KISONGE kwisha!
    Fanyeni hayo mapinduzi mliokuwa mkiyaandika hapo ubaoni.

  • sedouf

    wa-ZANZIBAR tutafurahi mno kupata mawazo na msimamo wa wakereketwa wa kisonge!

    watajitenga?

    watapindua?

    watasalimu amri kwa sheni!

    au………..

  • mnyonge

    KISONGE MKUKI KWA NGURUWE , Safari hii Njanjawiri tanawaleta kwenu hapo na FFU Watafunga Mtaa huo Roundabout hakutopitika fanyeni hayo mapinduzi yenu muone na hayo mabango na picha za Dektata Salmin muondowe haraka

  • sarhan salim

    hawa watu wa kisonge ni mambubumbu vichwa vikavu ,none educated’ wala hawana nia nzuri na nchi yetu ni wabaguzi ndani ya nafsi zao , wakati umefika tuanze tuwaelimishe hawa , na tuanze huko makwao kaskazini kwa sababu wanajifanya hawaoni wala hawsikii , tena pale kisonge pavunjwe hapafai kabisa , mimi nimepita tu nje na mke wangu walitoka nje wakaanza kusema nitazama mitoto ya micuf ilivyokuwa mizuri tukipindua tena tukawabake , mke wangu alikasirika sana nikamzuwia asiwajibu , hawa watu ni lazima washuhulikiwe roho zao dhaifu. hawa hawafai kuingizwa kstika serikali ya umoja kwa sababu ndani ya nafsi zao wanataka kuua na kuharibu watoto wa kike , hilo ndilo walijuwalo na sio maendeleo ya nchi .

  • misali

    kisonge janjawidi sheni wahafirina na mabwana zao watanganyika kitu kimoja sioni cha kunifurahisha kama kisonge haijapata baraka za watanganyika wasigeweza kupaga kupora na kufanya znz kama ya baba zao ccm hamna mwenye afathali ni maadui wa wazanzibar

  • Heart

    maswahiba zangu njaa tu zinawahangaisha, mfupa ule simba amekula na nyama yake,Fisi hana lake.

    Sauti ya Kisonge mtambo wake umeunguwa. Mapinduzi, aa wapi!

  • mhoma

    Natumai mizizi ya fitna tanganyika wameikata chumbe,hivyo basi ndugu zangu wa kisonge iliopita si ndwele…..alopita kapita tunasubiri siku yenu ya mapinduzi sijui itakuwa usiku au mchana ktk wiki hii,kila aje kwa shari mumgu muondolee yake dhamiry… Bilali na wahuni wako sasa kwishaaa washkaji wamekupigeni bao la kisigino la Peter Tino miaka ya sabini.

  • maalim

    Salaams.
    Hawa watu hawaaminiki kabisaaaaa – ( nyuso mbili )
    Leo hivi kesho vile.
    Subiri si muda mrefu watapewa kitu kidogo ” KINYONYO DANGANYA” utaona wanavyokugeuka.
    Yote kwasababu akili zao zimekuwa control na one system -SISI+MIMI.

    Shukran,

  • balozi mchafu

    @maalim…..unasema hv una elimu ya siasa na umeisomea wapi mbona mna macho ya upande mmoja tu hivi huyu seif wenu ni mtume au vipi? na kama ni mtume basi ameletwa na nani? dini yake ipi? mbona mambo mnayaona kwa ccm tu cuf kila wakati huwa wako sawa. Tuacheni ujinga huu ni mwaka wa 15 tena toka uchaguz wa mwanzo ufanyike zanzibar lakini cuf imeweza kusimamisha mgombea mmoja tu huku chama tawala kinaweka mtu wa 3 tofauti. Bado hamjajua kuwa seif si chaguo la wazanzibari. ccm ni muhimili wa tanzania ikiondoka mtauona umuhimu wake(taa haimuriki mpaka jua liondoke)

  • Isabella

    INASIKITISHA SANA KUONA ZANZIBAR INAUZWA NA WAZANZIBAR WENYEWE.. SASA, KWA NINI WAKOLONI WAMEONDOSHWA,IWAPO TUMETAKA KUJITAWALA NA KISHA TUNAUZA UTAWALA ULIO MIKONONI MWETU… FOOLISH PEOPLE!

  • balozi mchafu

    @isabella….samahani kwa kukukosoa zanzibar haijauzwa haijatelekezwa wala haijatupwa, zanzibar wamepewa wenyewe kulikuwa kuna kila uvumi ya kuwa zanzibar inaendeshwa na rais asokuwa mzanzibar mara hii tumeletewa mwenyewe sasa wewe unokuja kuropokwa sijui tukuelewe vipi.
    zanzibar ni ya wazanzibar sasa hivi
    wageni mnakaribishwa mje

  • swaglish

    balozi pole ukitaka kujuwa kwanini cuf wamesmamisha mgombea 1 kwasababu ni chaguo lao wamemchaguwa wakuwanzia tukiingia madarakani hatuwendi dodoma kuchaguliwa yupi wakutuongoza tutachaguwa wenyewe hapa hapa
    na ccm haina umuhimu wowote zaidi ya kutukandamiza,,, hebu funaka akili zako usiwe mbumbubu tu,, mtu mwenye akili yake anasema kama seif ni mtume na ana dini gani? lol kasome kwanza kisha uchangie sio unakurupuka tu..
    jamani ccm na kisonge kama pete na kidole tusidanganyike jamani wenzetu akipewa mchele wa mapembe wana nyuso mbili haoo

  • ashakh

    @balozi mchafu

    Nimefuatilia maoni yako, juu kidogo umetaka kujuwa utume, uteremsho, dini, nk ya Maalim Seif.
    Labda nikwambie kuwa Maalim Seif utume wake unatoka kwa M/Mungu na yeye ndie aliyemteremsha, huku dini yake ikiwa ni Uislam.

    Ikiwa wewe ni Muislam, M/Mungu anasema: Nimewafaradhisha wengine kuwa juu ya wengine. Hivyo Maalim seif alichopata ni hicho kitoka kwa M/Mungu. Kipi hicho; kukubalika miongoni mwa jamii. Jamii imemweka juu, nikisema jamii sinamaana lazima iwe watu wote, bali ni wengi. Pengine wewe hukubali, ujuwe muko wachache.

    Hata hivyo, balozi mchafu, nakupongeza sana kwa majibu yako uliyompa isabella. Isabella inaonekana hakijuwi anachotaka kusema. Anazungumzia mkoloni; kwani mkoloni kaondoka? Au mkoloni yupi aliyemkusudia?

    Akizungumzia Zanzibar kuuzwa; kwanani?

    Mwisho anawaita “FOOLISH PEOPLE!” tena kwa capital na huku zimekoza. Kweli isabella anakijuwa anachosema.

  • mrfroasty

    @Balozi

    Balozi adai CCM ni muhimili wa Tanzania, wakati lengo kuu la MZALENDO ni kuirudisha Zanzibar kama taifa huria.Kazi kweli kweli….

  • showayb ali

    Waliweza kufanya Mapinduzi kumpindua Seif Shariff mwaka 1995. Walikuwa bubu kwa wiki mzima, wakaonekana wanawawake wakiwa wnalia ovyo, baadaye wakafufuka lakini mara hii sijuiiiiii.

  • kibakora jaz

    @BALOZI MCHAFU,

    Inaonekana hukwenda shule hata kidogo kutokana na maneno yako ya kijinga ,hata kama wewe ni JANJAWED usiseme ovyo .

    Nafahamu mumekasirika sana kwa sababu huyo muhuni amepigwa na chini na miaka yote kipindi kama hiki ndio kipindi cha mavuno kwenu,miaka ilopita kipindi kama hiki tayari mlikuwa mnaiiba ,mnauwa ,mnadhulumu,mnatesa ,mnanajisi wake za watu,mnanajisi watoto wa watu lakini mkumbuke kila lenye mwanzo lazima liwe na mwisho.

    Nadhani huo ndio huo umuhimu wa ccm uliouzungumzia sioni kingine maana nchi hii tangu 1964 mpaka leo iko chini ya ccm na tunachokiona mbele yetu ni HALI MBAYA YA MAISHA,UJINGA,UBAGUZI,UUWAJI,UNYANGANYI,FITINA,UHAFIDHINA,JANJAWED,MASKANI NAMAPINDUZI DAIMA.

    Basi hayo ikiwa ndiyo ya kuringia na ndio unayosema ndiyo umuhimu wa ccm hapo nimekusoma.kwaushauri wa bure nakushauri rudi kwa mola wako na yachukie yale yote ulioyafanya ktk kipindi cha ujinga huenda ALLAH akakusamehe pia usisahau kuwashauri na kuwahubiria neno la mungu JANJAWED WENZAKO.

  • zenjiboy

    @balozi mchafu

    Kwanza nakupongeza kwa kujichagulia jina linaloendana na tabia zako. Kama sikosei kule kwetu balozi ni mtu aliyewekwa na CCM ili kuangalia mwenendo wa watu katika nyumba zake 10, lengo hasa ikiwa ni kuangalia wale watu ambao wanaenda kinyume na matakwa ya mtawala (nyerere). Sasa wewe umeongeza na neno mchafu. Allahu Akbar. Ama kweli wewe ni balozi mchafu, umejidhihirisha.

    Naomba nikwambie kitu kiomoja, hapa ndani ya mzalendo sisi wengine ni wadogo tu, lakini wako watu kama wewe ambao kazi yao bado ni ileile ya uharibifu – muhimu & co, wamesema waliyosema hata hiyo hoja yao ya Maalim kuwa mgombea pekee, wamejibiwa. Mwisho hoja yao wanadai CUF kila kitu wanachanganya dini na siasa. Basi muislamu kwa nini asichanganye dini na siasa wakati ndivyo dini yetu inavyotuamrisha, sisi si wakiristo kama kanisa liko mbali, yaani Mungu ana mpaka katika kuongoza watu aliowaumba! Je na nyinyi hii ndio dini yenu?

    Ushauri uliotolewa wa kwenda shule Muheshimiwa Balozi Mchafu ni mzuri na mimi nauunga mkono. Kaongeze banda kidogo huku ukiangalia wastaarabu wanavyochangia hoja ndani ya ukumbi, unaweza pia ukawasaidia hao wengine akina muunguja & co kama utaongeza elimu.

    Samahani sana sikukusudia kukushambulia wala kukutukana, kama nimekukosea nakuomba radhi.

    Salaam,

  • mkarafuu

    SALAM,

    KWAKO:Balozi mchafu.
    Nimekua nikisoma maoni yako mara zote unaonekana unaamini labda Watanzania hawewezi kuishi bila ya CCM,au ndio wale muloambiwa kua ccm imeleta amani? Mbona hatujawahi kusikia vita hapo kabla ya ccm?

    Laa kama unaamini ccm imeleta maisha bora, basi hapo kama kuna sehemu iloshindwa zaidi ni hiyo ya kuboresha maisha.

    Tunajua kua watanzania asilimia 95 wanaishi chini ya dola moja kwa siku,na ufukara unazidi kila kukicha sasa sijaona kitu chakutahadharisha kwa maneno maziri na kuipa ccm umuhimu wa pekee.

    Balozi mchafu anasema:”ccm ni muhimili wa Tanzania na ikiondoka mtauona umuhimu wake,(Taa haimuriki mpaka jua liondoke)”.

    Balozi hili ndio lilononanya niandike na mimi,laki ujumbe wangu kwa balozi ni kua akumbuke tu kua CCM iko miaka 50 sasa na hatujaona kubwa lililofanywa zaidi ya viongozi kujizidishia utajiri na umasikini ukizidi kwa wananchi wa kawaida na kusababisha wimbi la vijana wakwapuaji wa simu za mikononi na cheni za dhahabu nk.

    Namalizia kwa kuasa ndugu yangu amka,huo niuongo wanaousema ccm ili waendelee kuwatawala watu,na wanawanyima elimu ili musione kinachoendelea.sisi tuloamka hatudanganyiki tena.

  • sarhan salim

    salamu wazanzibar, je munamjuwa huyu anaejiita BALOZI MCHAFU< kiufupi tu baada ya ushunguzi wangu nimemgundua kuwa ni ali karume .

  • zenji M.O.B

    HAHAHAHAAAAA HAHAHAHAAAA!!!!!2010 OYEEEEE

    PRESIDENT = MPEMBA
    PRIME MINISTER = MPEMBA

    WATANGANYIKA WAMEWAUZA HAOOO
    KIDIDIMIE CHAMA CHA MAJANJAWED

    HAHAHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAA 2010 OYEEEEEEEEEE

  • sedouf

    Kisonge wajifunga vizoro.
    Wageuka wari kushinda ndani.
    Ubao hauandikiki.

    Kelele za Kisonge za kusema nchi hii haiwezi kuongozwa na mpemba zikowapi sasa?

    Rais mpemba!
    Makamu Mpemba!
    serikali ya ummoja!
    CUF kutowa maamuzi mazito kuhusiana na ZANZIBAR!

    KAZI MNAYO WANAKISONGE.

  • misali

    kijana sedouf unajuwa kisonge sheni bilali vuai na wahafirina wote hawana tofauti hata MKAPA alisema mpenba watawali hapa na hao kisonge walipewa nguvu na ulizi ili waendeleze ufethuli wao thidi ya wapemba au mmesahau jamani amkeni ccm ni gengi la wahuni kila siku hupanga njama za kuiangamiza zanzibar lazima kuna mipango ya kuiangamiza zanzibar na watu wake sasa lengo na nia yao ni kumtumiya sheni ili waweze kuiba majimbo pemba na kuibomoa ngome ya cuf ,sera ya ccm ni kuwatumiya viongozi wa znz kuwakandamiza na kuwauwa ndugu zao tunakumbuka comando alivyotumiwa alipomaliza kazi yake akawekwa penbeni kuna ajenda za siri na mikakati inayosukwa na watanganyika habari do hiyo tusije kuliya kama mbwa koko midomo juu

  • sedouf

    Msali
    Ninachojuwa mimi ni kuwa kisonge wamechanganyikiwa,na huu huenda ukawa mwanzo wa hitilafu na hatimae kuparaganyika kwa ccm.

  • abu

    Jamani mimi hapa ni mgeni ila nimesoma maoni ya watu a mimi nataka niseme machache.
    Kwa kweli uteuzi wa shein umenifurahisha sana kwa maana tunatarajia siasa za kistaarabu baada ya kufanikiwa kwa kura ya maoni kwa ajili ya serikali ya umoja. Pia wale ambao walikuwa wanamtazamo wa kuwa Z’bar haitatawaliwa na rais Mpemba sasa leo hii wameadhirika. Hii pia ni nafasi nzuri kwa CUF kujipanga kwa ajili ya ushindi wa kishindo ikiwa uchaguzi utafanyika ktk hali uhuru na haki kama Maalim seif alivyosema hakuna sababu ya kuishindwa mwaka huu.
    Uteuzi wa shein naomba uwape funzo CCM znz kuwa CCM ni ya watanganyika na raisi anayetakiwa na watanganyika ndie atakaepewa nafasi. Lakini pia nimefurahi kwa kuwa kisonge watu ambao kipindi cha bilal na komandoo wa plastiki waliongoza kwa kupeleka fitina za kuwa huyu ni Mpemba, huyu CUF watu wakafukuzwa makazini na kuvunjiwa majumba yao kwa sababu tu ya upemba wao.

  • sedouf

    maalim seif ,sheni ni size yako kabisa.
    usikubali yatokee yaliowahi kutokea wakati wa komandoo na amani ya kuibiwa kura!
    Wazanzibari tumechoka kutawaliwa!

  • intihan

    Jamani mimi si mchangiaji wa mara kwa mara ila ni msomaji mzuri wa hizi comment, nawaomba ndugu zangu kwanza tuombe hii kura ya maoni ipite kwa kuhamasishana wazanzibari wote, pili kwa vile siku zote tunazungumzia kuijenga zanzibar mpya basi si busara kutupiana maneno ya kejeli na dharau, najua wazanzibari tuna uchungu kwa yaliyotokea miaka mingi iliyopita ila tuna wajibu wa kustahamiliana ili tufanikiwe ktk kuijenga zanzibar mpya otherwise tunaweza kujikuta tunarudi kulekule tulipotoka tusipokua waangalifu