Maoni kwenye: KISONGE KUFANYA MAPINDUZI?

Kwa: intihan
Jamani mimi si mchangiaji wa mara kwa mara ila ni msomaji mzuri wa hizi comment, nawaomba ndugu zangu kwanza tuombe hii kura ya maoni ipite kwa kuhamasishana wazanzibari wote, pili kwa vile siku zote tunazungumzia kuijenga zanzibar mpya basi si busara kutupiana maneno ya kejeli na dharau, najua wazanzibari tuna uchungu kwa yaliyotokea miaka mingi iliyopita ila tuna wajibu wa kustahamiliana ili tufanikiwe ktk kuijenga zanzibar mpya otherwise tunaweza kujikuta tunarudi kulekule tulipotoka tusipokua waangalifu

Kwa: sedouf
maalim seif ,sheni ni size yako kabisa.

usikubali yatokee yaliowahi kutokea wakati wa komandoo na amani ya kuibiwa kura!

Wazanzibari tumechoka kutawaliwa!

Kwa: abu
Jamani mimi hapa ni mgeni ila nimesoma maoni ya watu a mimi nataka niseme machache.

Kwa kweli uteuzi wa shein umenifurahisha sana kwa maana tunatarajia siasa za kistaarabu baada ya kufanikiwa kwa kura ya maoni kwa ajili ya serikali ya umoja. Pia wale ambao walikuwa wanamtazamo wa kuwa Z’bar haitatawaliwa na rais Mpemba sasa leo hii wameadhirika. Hii pia ni nafasi nzuri kwa CUF kujipanga kwa ajili ya ushindi wa kishindo ikiwa uchaguzi utafanyika ktk hali uhuru na haki kama Maalim seif alivyosema hakuna sababu ya kuishindwa mwaka huu.

Uteuzi wa shein naomba uwape funzo CCM znz kuwa CCM ni ya watanganyika na raisi anayetakiwa na watanganyika ndie atakaepewa  nafasi. Lakini pia nimefurahi kwa kuwa kisonge watu ambao kipindi cha bilal na komandoo wa plastiki waliongoza kwa kupeleka fitina za kuwa huyu ni Mpemba, huyu CUF watu wakafukuzwa makazini na kuvunjiwa majumba yao kwa sababu tu ya upemba wao.

Kwa: muhimu
kwa sisi ccm hatumnwiti Dr shein mpemba bali mzanzibari

Kwa: muhimu
kumbe munakua munanimiss sio sorry nilikuwa nipo aay dodoma kidogo tulikuwa tunaweka mambo sawa

Kwa: sedouf
Msali

Ninachojuwa mimi ni kuwa kisonge wamechanganyikiwa,na huu huenda ukawa mwanzo wa hitilafu na hatimae kuparaganyika kwa ccm.

Kwa: misali
kijana sedouf unajuwa kisonge sheni bilali vuai na wahafirina wote hawana tofauti hata MKAPA alisema mpenba watawali hapa na hao kisonge walipewa nguvu na ulizi ili waendeleze ufethuli wao thidi ya wapemba au mmesahau jamani amkeni ccm ni gengi la wahuni kila siku hupanga njama za kuiangamiza  zanzibar lazima kuna mipango ya kuiangamiza zanzibar na watu wake sasa lengo na nia yao ni kumtumiya sheni ili waweze kuiba majimbo pemba na kuibomoa ngome ya cuf ,sera ya ccm ni kuwatumiya viongozi wa znz kuwakandamiza na kuwauwa ndugu zao tunakumbuka comando alivyotumiwa alipomaliza kazi yake akawekwa penbeni kuna ajenda za siri na mikakati inayosukwa na watanganyika habari do hiyo tusije kuliya kama mbwa koko midomo juu

Kwa: sedouf
Kisonge wajifunga vizoro.

Wageuka wari kushinda ndani.

Ubao hauandikiki.

Kelele za Kisonge  za kusema nchi hii haiwezi kuongozwa na mpemba zikowapi sasa?

Rais mpemba!

Makamu Mpemba!

serikali ya ummoja!

CUF kutowa maamuzi mazito kuhusiana na ZANZIBAR!

KAZI MNAYO WANAKISONGE.

Kwa: zenji M.O.B
HAHAHAHAAAAA HAHAHAHAAAA!!!!!2010 OYEEEEE

PRESIDENT       =  MPEMBA

PRIME MINISTER  =  MPEMBA

WATANGANYIKA WAMEWAUZA HAOOO

KIDIDIMIE CHAMA CHA MAJANJAWED

HAHAHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAA 2010 OYEEEEEEEEEE

Kwa: Taaban bin Hoi
Hahaha

Safi kabisa@Zenjboy: MUHIMU & CO.

From now on hiyo ndio iwe alama yao!