Maoni kwenye: Vipi tutainasua Zanzibar na kuleta maendeleo

Kwa: zamko
Sinabudi ilakutoa shukrani zangu kwa ndugu Mfroasty kutuletea MAONI yake na kuwapongeza nduguzangu wengine ambao wamechangia mada hii. Eitherway, wengi wa wachangaji walikua wamebanwa na wasiwasi wa ushindaniau kutaka kujua ufafanuzi wa vipengele vya mada hii. Kama vile Bima ya Afya (Health Insuarance Tax). Sina budi kuungana na ndugu yetu MUUNGUJA kwa maazo yake ya Bima ya Afya, kwamba  kuna nchi kama Uk, France, Canada na hata hapa Scandernevian countries wanatoa matibabu ya afya kuwa ni ya Free.

Lakini kuna mchango ambao unatolea na kila mtu mwenye kufanya kazi anachangia kwamujibu wa income yake. However kuna NHS  (Natinal Health Service)kwa kule UK Canada,France Danmark n.k Hizi NHS ziawatibu hata mtu akiwa mgeni, kama kaumwa na kapelekwa hospital basi anatibiwa. Lakni mgeni huyu hapati farcilities zote kama vile mwenyeji /mtu anayelipa Bima.

Kwa wale masikini wasiokua na kazi au lower Income Nchi kama za EU wanawapatia Raiya wao hiyo Social  Benefits ambayo inalipia mambo mengi kama mfroasty alivoeleza na hata hiyo Bima. Sasa kwa upande wetu Wazanzibari/Zanzibar hili nijambo moja kubwa lilikuwako kwenye Manufestor ya chama cha CUF:

CUF wakipata serikali, walikua na nia ya kuanzisha hizo  National Insuarance Cards (kama hawajabadlisha manufestor yao).Hii nikua Wananchi wote wataweza  kuchangia direct au indirect. Na wataweza kunufaika na huduma za Afya.Sasa kama kunamtu anataka luctiory na anapesa atakua na fursa yakwenda kwenye Private Hospital. Na pangu pakavu kama mimi, huyu atatibiwa bure kwenye General Hospital

OOOPS ….Sorry MUUNGUJA,  najua utanambia mimi naipenda CUF::::: Lakini nibora niseme kile nilichokiona, Sasa ikiwa kweli tutapata seikali mpya.Na hawa CUF watakua niwatendaji au watapewa Serikali basi. Wazanzibari tusubiri tuwaone kama nawao watatuletea mabadiliko au watakua nikama hawa waliopita.

Mawazo yangu:

Kuhusu Elimu ya Bima na ulipaji wa maji,umeme,kodi ni kitu muhimu sana kupatiwa wananchi elimu hiyo. Hiiitawafanya waelewe FAida na Hasara za ulipaji Bima, tax n.k.Kwani sasa hivi wananchi wanapiga kelele yakulipa maji na kodi ya kichwa. Hii nikwasababu hawazioni faida zake. Mbona sisi tulioko Uhaibuni hatupigi kelele tena?

Kwasababu tunaaona manufaa yakulipa Tax. Japokua mtu aikiita ambulace saa nyengine inachukua muda wakuja hasa wakiona kama mtu hana jina la kizungu. Lakini tunapata huduma hizo.

Elimu ya huduma za jamii haiwezi kupatikana ikia tutakua na uongozi wenye mawazo Mgando. Kama huu tulionao sasa hivi, kila kitu mtu anachokibuni anaambiwa anataka kuvunja muungano au ni adui wa Mapinduzi. huduma hizi zitapatkana pale ambapo tutakua na Serikali mpya, na sera mpya za Siasa ambazo zinatambua haki na  maendeleo ya jamii.

Kuhusu Muungano unaweza kuvunjwa lakini sikwapupa kama watoa mada wengine wanavofikria. Tukae tufikirie kwamba sisi hatuna Jeshi wala bahari yetu haina ulinzi wowote ule. Tutakapo vunja muungano kwa ghafla ghafla tunaweza tukavamiwa na hata hao mataifa ya nje. Ambayo wanatuona sisi tunataka kurudia kwnye cominist au Uislamu. Mimi naungana na mawazo yakudai serikali Tatu.

wananchi watakao piga kura wasilale tuuwakasubiri bwawani iwabadilishie mtokeo.Kama haki haikutendeka mara hii Maandamano na solidarity  ya wazanzibari wote wa nje na ndani ndio itatuletea mabadiliko zanzibar. Tusiwaachie ndugu zetu wa Unguja na Pemba kuandamana pekeyao. hata walioko nje wanatakiwa wafanye hivo. Najua kunawatu watanicritisise kwamba niko nje ndio nachochea. Lakini waangalieni Wa-Georgean, Wa-Bosnia,Wa-Ukranian, Wa-Checkslovakian,Wa-kenya n.k

Lakumalizia Umoja ni nguvu na ushikamano ndio ngao yetu wazanzibari, kwanini tugombane na tukejeliane kwenye mtandao. Kwa wale waliokua hawana mawazo ya kuchangia nawajisomee na wakae kimya badala ya kukjli-kejeli.

Idumu Zanzbar na watu wake

Kwa: mkarafuu
Salam.

Mimi kwenye mada hii sitachangia kwa vile uwezo wangu ni mdogo kwenye haya, lakini pia mambo haya yanayohusu hatma ya nchi yanahitaji muda wakufikiria na umakini wa hali ya juu ili kutoa mchango unaofaa.

Nitaendelea kua msomaji wa maoni ya watu hadi pale nitakapo pata mawazo na mimi ya kuchangia ndio nitafanya hivyo,na hili nawaomba wenzangu wafanye kama mimi kama hawana chakusema wanyamaze sio lazima wachangie,ni bora kua msomaji tu.

Mtu angalijifunza  hicho kilicho andikwa, hadi  akipata mawazo na yeye atoe mchango wake ,kuliko kukosoa maoni ya mwenzako na kuyakejeli na kuonyesha dharau na kuishia hapo, bila ya kuonyesha nini kilicho bora zaidi yakile alichokifikiria mwenzako.

Nachukua nafasi hii kwa kumpongeza sana MUUNGUJA pamoja na kua tunaelewa kua anaipenda CCM sana,lakini uzalendo pia anauonyesha kwa kuchangia mambo mengi yanayohusu  Zanzibar,pamoja na kupingana na mawazo ya baadhi ya wachangiaji lakini hukosoa na kutuonyesha suluhisho kwa kile anacho amini yeye kua ndichokitakacho faa kwa mtazamo wake.

Huu ni mfano wa kuigwa kwa wachangiaji humu mzalendo.net na hapo ndio tutafika kule tunakotaka kuenda.

Hakuna haja ya kudharau  mawazo ya mwenzako,bora kuyapinga kwa kutoa yako unayoyaamini nibora,huenda kwa kufanya hivyo tukapata kitu kizuri zaidi na tukaishawishi serekali au viongozi kutumia mawazo yatokayo humu kuendeshea sekta fulani ambayo imejadiliwa na tukaona yatafaa mawazo hayo kwa maslahi ya Zanzibar tuipendayo.

AHSANTENI.

Kwa: Ghalib
Ni kweli mrfroasty hata mimi nikiumwa basi ndio nilikuwa natibiwa kwa hiyo number yangu na tena,na bila ya kuwa na number hii gharama juu yako,lakini mimi naweza kusema wengi wetu hatujui nini maana na ZSSF,na vipi itatusaidia,kwa kweli mimi nilikuja kujua wakati nipoanza kazi,tena katika company kubwa nikilipa nikikatwa pesa hizo,ndio nikavuta picha kutoka nchi za njee

ZSSF kila mzanzibari lazima ajiunge na kila mtoto akizaliwa apatiwe number ya kutoka idara hii ZSSF, na pia kila mzanzibar achangie,kwa kila mzanzibari lazima mfuko huu,tukitoa mbao ya tax,ili tuweze kusaidia taifa,isiwe tu kwa mtu fulani,pia kitengo Cha ZSSF kiahamasishe watu nakieleze faida ya kuwa na zssf  na pia iwalazimishe,hata unapompeleka mtoto skuli lazima awe nayo hii number ni muhimu sana,

MR afroasty nakuomba tuletee mada hii ya afya ni muhimu sana tuichambue zaidi,tupige kampeni ya afya,hapa znz ili iweze kuwasadia kwa wale wasiokuwa na uwezo.

ZSSF ni muhimu sana kwa kila mtu kuchangia,tusiwe wagumu jamani,serikali ina majukumu ya kulazimisha hasa naona mimi.

leteni mawazoo au nipo wrong jamani

Kwa: mrfroasty
Nilichokusudia mimi hapo juu ni bima ya afya, yaani Health Insurance.Hii inalipa malipo kwa hospitali kila mteja wa insurance anapoumwa au kutumia huduma za afya.

Nimejaribu kueka sawa kidogo, maana inaonekana kuja kuchanganyika na Social Security Funds.Social Security Funds kwa mfumo wa Tanzania, ni pesa za Pension nilivyofahamu mimi.Kiilivyo naona vijana wengi hukimbia kukatwa mishahara yao kwa ajili ya matumizi ya uzeeni.

Hizi NSSF na ZSSF zinahusika na hio kwa kiswahili inayoitwa pensheni, malipo unapoacha kazi.Vijana musikimbie kuilipa hii, ni muhimu kuna siku utazeeka!

Kwa: Ghalib
@mrfroasty

kuna watu wapo ulaya hapa lakini hawajui hata ile pesa inayo mtibu inapatikana wapi,wako tu kama madudu,mfuko wa kukusanya insurance si upo lakini kule bara wanaita NSSF ( NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND) na hapa zanzibar unaitwa ZANZIBAR SOCIAL SECURITY FUND(ZSSF) Jee sector hii ni ya nini,na wafanyakazi wanalipia,lakini wanaolipa ni wachache wanaonekana

hii inahitajika kwa kila anafanya kazi yoyote ile alipe,hata uburuze rikwama,uchangie ufuko huu,sasa sijui bima gani munayooiyongea nyie hebu nifahamisheni,nilipokuwa tanzania nalipa kwa mwezi mimi elfu 20,000 hapo bara,na lazima ulipe, jee zanzibar munalipa mfuko huu kila mtu ? kila mkaazi wa zanzibar anatakiwa awe anayo number yake katika mfuko huu,achangie kila mwezi inategemea na kipato chake.

suala la muungano,marekebisho ya muungano,kwanza irudishwe TANGANYIKA,kuwe na serikali 3

tanganyika ,zanzibar na tanzania,sio kutugeuzia tanganyika ikawa tanzania,mukae vikao elfu kumi tatizo halimali,na hakutokuwa na fair,this unfair dismisal.

Kwa: mrfroasty
Marekani wana matatizo na mfumo wao wa afya, sina uhakika tatizo nini lakini mfumo wao ni mbovu kwa kulinganisha na EU.

EU ndio mfumo bora na ndio unaotumika na nchi takriban zote za bara hilo.Kinachofanyika kwa wasio na kazi hupewa posho ambayo ndio hio nadhani unayoita Social.Hii posho ndani yake kuna budjet kamili ya kula, kuvaa na kulipa bima.

Bado napingana na wewe kuwa UK huduma za Afya ni bure au zinaendeshwa na serekali.Kinachofanyika ndio hicho ninachokizungumza mimi kupunguza majukumu kwa serekali na kuongeza ufanisi.Sina uhakika sana UK kwani kidogo naamini wako nyuma kwa miaka kadhaa ya maendeleo kulinganisha na nchi zengine za EU (fact hio sio pumba).

Lakini nina uhakika nchi zengine za EU kila mtu analizimika kukata bima ya afya.Hii ni lazima kwa katiba zao kila raia awe na bima, na ukiwa huna unaweza pandishwa mahakamani kwa kuvunja sheria.

Sasa hapa nadhani mfumo ndio ule ule huduma ya afya kwa kila mtu hata masikini asie na kazi.Nasema kuwa ni sawa kwa vile huduma itapatikana kwa kila mtu, na wasio na uwezo watapatiwa Social au posho kwa ajili ya kulipia huduma hio.

Kilichopatikana ni huduma bora kwa kuongeza ushindani wa mahospitali.Na zaidi ya huduma bora, pia jukumu la kuendesha sekta ya afya linakuwa limeondoka kwa serekali.

Maasalaam,

Kwa: muunguja
@mrfroasty

unaongea vitu lakini huna data ya kusuport point zako.typical like african politician kwamfano umesema sekta ya afya kuachiwa makampuni ya bima sasa hebu elezea vipi hiyo process inavyokwenda.ninavyoelewa mimi hii system ambayo wewe unaitaka sasa hivi obama anaipiga vita kwasababu watu wamerikani million 50 hawana bima ya afya.sasa hao ni matajiri sembuse sisi mburu matari,asilimia ya watu wengi znz ni masikini na hawana kazi sasa niambie kampuni gani ya bima itakupa health insurence kama huna kazi.

mfumo amabo mimi naona unafaa kuhusu afya ni ule kama wa uk,canada,france n.k

health services is free for anyone but kuna mkato wa kila mfanyakazi na makampuni amabo unaitwa national insurence or social security.sasa pesa inayopatikana inakwenda kwenye huduma za afya direct not makampuni ya bima.uzuri wa mfumo huu ni kwamba kwa yule amabaye hafanyi kazi still anafaidika na huduma ya afya na vile kama una earn mkia wa mbuzi basi rate yako ni ndogo vile vile.kumbuka makato hayo ni tafauti na income tax.sasa tuchukulie wafanyakazi znz ni laki 4.sasa ikiwa kama kila mmoja atachangia tzs2000 kwa mwezi basi mapato yatakuwa  800 million sh per month.sasa hesabu ya haraka haraka uki convert na dollar ni kama $600,000.

sasa huo ni mfano lakini naamini mkato uwe more than 2000 basi tutakuwa mbali kwa huduma za afya .maji n.k

kwa kuongezea naona wakati umefika kwa watu kuchangia huduma za maji .makato yawe reasonable lets say 500tz sh for every household each month or year.hii itasaidia uendeshaji wa mashine za maji na miundo mbinu pamoja vitendea kazi kwenda smooth ili kuondoa tatizo sugu la maji.

Kwa: mrfroasty
Next time ukitumia lugha hizi za dharau kwa mjumbe mwengine, hatua za nidhamu zitachukuliwa.Heshima kitu cha bure, shukurani.

Afterall unaonekana kama umepotea njia, kutetea uhuru wa Zanzibar kwa kuitoa nje ya Muungano ni ajenda kuu za mtandao huu.Soma malengo na madhumuni ya network kabla hujajiunga, hili limeandikwa hapo juu kwenye navigation documents.

Hapa nakutolea quote:

# Kusaidia Zanzibar kihabari, kuhamasisha jamii na kutoa muamko kwa wananchi wa Zanzibar ili wapiganie wawe na dola kamili ya watu wa Zanzibar na kuachana na upuuzi wa muungano.Kwa ufupi, MZALENDO.NET haina imani au haipendelei kuona nchi ya Tanzania

Kwa: mrfroasty
@ Abuu Said, muhimu ,  shamuhuna

Nimetoa maoni yangu sijatoa amri uwezo huo sina, wala sijasema kuwa mimi nataka kugombea urais.Hio niliotoa hapo ni step-wise plan ambayo ni maoni yangu binafsi.Plan hio haina ugumu wowote ni maamuzi tuu ya wazanzibari wakiamua leo kesho linakuwa.

Hoja nambari 1 ni kuchachamaa kwa wananchi na kudai kilicho chao.

**Tumeona nchi nyingi tuu zikiwemo Ukraine watu walivyo chachamaa na kupinga matokeo ya uchaguzi.

**Tumeona Eritrea watu walivyopoteza uhai kutetea haki yao.

**Kenya

**Kwa Mugabe etc…

Hivyo hili linawezekana sana kuhakikisha matokeo ya uchaguzi yanaheshimiwa.Kwa mujibu wa takwimu za International Observers CUF hushinda chaguzi zote Zanzibar, na badala yake matokeo kupangwa Hoteli ya Bwawani kwa kushirikisha vyombo vya Usalama na majeshi mengine ya Tanganyika.

Sasa wananchi wanatakiwa wadai haki yao, wamechagua serekali wasimamie kidete kuhakikisha wanaipata serekali waliochagua na si vyenginevyo!Hili si jukumu la Seif, ni jukumu la wazanzibari kuhakikisha wanapata walichokichagua!

Nukuu:

**Kwa ufupi step-wise plan hio inatekelezeka na wala haijazungumza vitu vya maajabu.Sekta ya Afya kuachiwa makampuni ya Bima ndio njia sahihi nchi zote zilizoendelea zinafuata mfumo huo.Hapo kama kutakuwa na wananchi hawana uwezo ni kulipwa posho ya bima ili waweze kumiliki bima ya afya.

Maasalaam,

mrfroasty

Kwa: ukwelituu
Nakataa kwa yoyote anae sema mungano hauna faida.muungano unaleta faida nyingi sana.Nitazitaja kwa ufupu hizo faida yakwanza ni     mungano unamaliza uisilamu znz.mungano ni batili.mungano unajaza majambazi.mungano unaharibu vijana wa tifa la leo. mungano haramu.mungano umetuwondoleya paspoti.mungano unatuleteya ukimwi.mungano umetulaza miezi 3 bila ya umeme. mungano umetulisha mchele mbovu mungano unataka kufuta ramani ya znz.mungano umefanya vijana mashabab mpaka sasa hivi hawana hata uwezo wa kuwoa mke kwa sababu ya hamna ajira. mungano unataka kuiba mafuta yetu.mungano umewafanya viongozi wetu wawe mashwain

kuhusu mapinduzi.hawo wote waliyoyafanya hayo mapinduzi filnari jahanama.