Maoni kwenye: Sauti:Harambee:Mchango wa wazanzibar walio nje (Wazanje)

Kwa: AHMADU NASSOR
Mimi nadhani mungefanya kazi ya kuwaelimisha watu kwanza malipo hayo yanafanywaje, maana mimi binafsi hili kwangu ni jipya nafikiri na kwa wengine inaweza kua hivyo hivyo.

Sasa mufanye kazi paypol haijulikani kabisa katika jamii yetu, na hata hivyo ukiritimba wa mabenki yetu hauzuwii pesa ndogo wanazuiya ikiwa hela hizo ni nyingi kwa hofu ya kufika mikononi mwa wanaoitwa magaidi.

Kwa: Revival
salaam

jamani naomba kuuliza

nini faida ya kukusanya waumini na kumuomba Mungu na huku tunapinga sheria zake kututawala na kutuendeshea maisha yetu?

nini faida ya kusoma Qur’an na kutofuata mafundisho yake?

nini faida ya kuamini Qur’an na kupuuza muongozo wake?

tuna amini kuwa Qur’an inamuongozo wa kijamii, kisiasa, kiuchumi, kiutawala na kiibada lakini nashangaa kuwa tumechukuwa moja tu la ibada na kuyawacha mengine, hivi kweli waumini tutafanikiwa hapa na akhera?

vipi tuna kuwa kama punda aliebeba dhahabu lakini hajui thamani yake?

tunasema kuwa makanisa yanatuharibia mandhari yet ya visiwani lakini tunakimbilia hukohuko kwao UK na USA kwa kuomba suluhisho ya matatizo yetu, Je hatuoni kama kunatatizo fulani kwetu?

lengo ni kutaka kufahamu ni nini tatizo letu na imani hii yetu tulionayo.

wasalam

Kwa: Hapa ni Pangu
Ndugu Wazanzibari tulioko nje, kusema kweli hii hatua ya kufunguliwa heasbu kwa ajili ya sisi tulioko nje kutoa michango yetu ya kifedha. Hii hatu nzuri sana na naamini nadni yake kuna auaminifu mkubwa. Waliofanya kitendo hiki ni watu walio na uchungu na nchi yao na sina wasi wasi nao.

Hata hivyo, la muhimu ni kufahamu tu kwamba sisi ni banaadamu na wakati wo wote moyo wa mmoja wetu ulimaliza mapigo yaliyopangwa na Allah, basi huaga dunia na kuacha kila kitu nyuma bila kujua nani na nani watakuwa wanashughulikia mambo hayo. Kwa hali hii, ningalipendelea uongozi wa Mzalendo ukawataja wahusika wakuu wa kusimamia hesabu hiyo na kuwatangaza ukumbini, amabapo ikitokezea mmoja wetu kuaga dunia, basi wapo wengine wa kuishughulikia na kutoa taarifa kwa Wazanzibari juu ya hesabu hiyo. Ninapendekeza kila mwezi itolewe taarifa ya mapato yaliyomo katika akauni hiyo, na siyo lazima kumtaja mchangiaji mapaka pale mwenyewe atakaposema atajwe.

Bila shaka inajulikana wasimamiziw wa hesabu ya benki wasipungue watatu, na iwapo mmoja atakuwa nje wa dhamana hiyo, basi mwengine ateuliwe na atangazwe. Kwa kufanya hivi, watu wengi wataamini kuwa linalofanywa ni la manufaa ya Visiwa vyetu na wataweza kutoa michango yao kwa hali yo yote ile.

SI vibaya pia ikawekwa kulipia kwa kutumia major credit card iwapo itawezekana.

Natangulzia shukrani.

Hapa ni Pangu

Kwa: ashakh
Hongera kwa MUWAZA na WAZANJE nimesikia tangazo lenu.

Sasa ukweli ukidhihiri uongo hujitenga. Number one Saleh Ramadhani Ferouz. Number two Juma Duni Haji. Number three MUWAZA na number four WAZANJE. Serikali ya umoja tayari imeundwa.

Penye nia ipo njia, na hakuna lisilo wezekana. Mchango umefanyika, tangazo limetoka. Aliyekuwa hakuchangia pia kasikia. Hata hivyo ikiwa wako waliobakia, wasione wamechelewa kutoa michango yao. Account ipo pesa zitahifadhiwa. Huu ni mwanzo tu, MUWAZA ina mengi ya kufanya baada ya kura ya maoni kufanyika.

Miongoni mwao ni kusimamia uundwaji wa serikali yenyewe, kutoa elimu kwa viongozi na wananchi juu ya uendeshaji wa serikali ya umoja, kukinga kurudi tuliko toka hasa kipindi cha uchaguzi mkuu, kama ilivyopendekezwa na wasomi wengi tunahitaji 3rd party, hivyo MUWAZA inastahiki kuwa THIRD PARTY katika serikali ya umoja.

Shukran Sh Yussuf kwa usimamizi na mchango wako wa kutupatia ujumbe huu. Pia hapo uliposema, nakariri:

” Katika acc. ya MUWAZA zimetolewa leo £135 lakini wameahidi watazijaliza zifike angalau £ 200 na watampelekea Ally Saleh.”

Sasa wale waliokuwa na wasiwasi wa michango watajiuliza ninani hao watakao jaliza? Pia unaweza kuingia vichwani mwao zimeingia £135 zimetoka £200, jee MUWAZA inafanya biasharagani hata ikapata faida kiasi hichi. Yaani pesa imeingia wiki moja tu inatoa faida ya 50%!!!

Mwisho namuomba MUHIMU & Co walete mchango wao.

Kwa: Update ya Harambee
Update:

ASA

Katika acc. ya MUWAZA zimetolewa leo £135 lakini wameahidi watazijaliza zifike angalau £ 200 na watampelekea Ally Saleh.

WSL

Yussuf

Kwa: Sala na Dua - Lumumba
Asalaam aleykum

Ijumaa ijayo tarehe 30/7 Jumuia za Kiislaam zitajumuisha Wazanzibari kwenye kiwanja cha Lumumba kwa sala na dua kuiombea Zanzibar kheri, fanaka na mafanikio ya kuwa ya maoni na SUK.

Jumuia hizo safari hii zimeshindwa kutumia viwanja vya Maisara kwa sababu ya gharama kubwa. Lakini hata huko Lumumba nako kunahitajika msaada wa Kiredha kwa hivyo wale wenye uwezo wanaombwa watabaruk kwa haraka iwezekanavyo.

Wasalaam

Yussuf

Kwa: Update kutoka Zanzibar
Tangazo limeanza kutoka hits fm na zenj fm.Kesho litaanza kutoka radio istiqama, pemba.

ally

Kwa: mrfroasty
Tangazo hilo inshallah litaanza kurushwa leo…update na mambo mengine yote yatafuatia baadae inshallah.

Maasalaam,

mrfroasty

Kwa: mrfroasty
Kama uko Zanzibar wasiliana na Shk Ally huko nyumbani.Ni wazi kutuma pesa kutoka Zanzibar kuzipeleka UK, halafu ukazirudisha tena sauti ya radia Zanzibar haingii akilini…and very expensive too.

Inshallah tangazo litaanza kurushwa leo, na mp3 final version nitaiomba na kuiweka usiku wa leo inshallah…

Maasalaam,

mrfroasty

Kwa: abu
Mie nadhani kuwepo watu kama BANDA ni muhimu sana ktk kuleta changa moto za kutekeleza mambo ambayo MUWAZA wanakusudia kuyafanya, viongozi wa mzalendo hakuna haja ya jazba nadhani hekima itumike zaidi ktk kuwaelimisha watu pale wanapokuwa na mashaka au wasiwasi juu ya jambo llte. Baadhi ya wakati mtu sio kwamba hakuamini anapohoji bali huwa anataka kujiridhisha nafsi yake juu ya kile anachokichangia.

Mimi kwa upande wangu na unga mkono idea na tuko pamoja ktk hili. Allah akinijaalia natarajia kwenda unguja siku ya tarehe 31/07/2010 kwa ajili ya kusema NDIO.

Wahusika wa hii michango nigeomba maelzo kuna utaratibu gani kwa wale waliopo hapa nchini ikiwa wanataka kuchangia au hii ni kwa ajili ya walio nje peke yake, maana na sisi wengine tungependa tuwe ni sehemu ya kusaidia kujenga Znz mpya.