Matangazo

Mkutano Mkuu wa Dharura ZAWA UK

Assalamu alaykum,

Ili kukamilisha usajili wa ZAWA UK kiwe chombo chenye hadhi ya Charity organisation hapa UK, kuna haja ya kuitisha mkutano mkuu ambao utajadili na kubadilisha baadhi ya vipengele vya katiba ili tuweze kupata usajili huo.

Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Froud Centre tarehe 29 Januari 2012 hapo kwenye afisi za ZAWA UK,

FROUD CENTRE, ROMFORD ROAD,

EAST LONDON

Kuanzia saa  nane mchana hadi saa  kumi na moja jioni.

Wazanzibari na Wanachama mnaombwa kuhudhuria kwenye mkutano huo.

Ahsanteni.

Mwenyekiti

Hassan Mussa Khamis

Share: