Matangazo

MTANDAO MPYA YA KIJAMII UMEINGIYA

Napenda kuchukuwa fursa hii kwa wana Mzalendo au kwa wale ambao hupata
habari kwa kupitiya mtandaoni basi wasikose kuipitiya blog ya kijamii ambayo itakuwa hewani c muda mrefu
Na vile vile kwa wale ambao huwa wanalalamika habari zao huondolewa kwenye MZALENDO.NET ,sasa matatizo hayo yamepatiwa dawa wewe tuletee habari,sisi tutawakilisha bila ya wewe kukutaja,kama kuna jambo kazini rushwa ,vitendo vya ndono makazini ,hujatendwewa haki ,unahisi una dukuduku lako rohoni unataka kulitowa basi wewe tuletee sisi tutawakilisha , hatubaguwi lete tu kupitiya eimail hii beltelraas@yahoo.com
na usikose kutembeleya blog yako www.beltelraas.blogspot.nl
tupo kwa ajili yako

Share: