Matangazo

NYUMBA INAUZWA / UNGUJA

Assalam Alaykum,,,,
Wanamzalendo na wote wanaoperuzi forum hii diaspora na nyumbani.
Napenda kuchukua nafasi hii kukutangazieni kua kuna nyumba inauzwa, sifa na maelezo yake ni kama ifuatavyo:-

SEHEMU: MWANAKWEREKWE JITIMAI – line ya pili kutoka goli la kaskazini la uwanja wa jitimai.
Planned area/panafikika vizuri kwa gari za aina zote.

1-VYUMBA: Vitano (5) -Kimoja MASTER.
2-KUMBI: NNE (4)
-Kumbi (3) za kukaa/kupumzika(sitting room); mmoja wao mkubwa.
-Ukumbi wa kula mmoja 1.
3-VYOO: Viwili 2.
4-JIKO: Moja 1.
5-STOO: Moja 1.
6-UTILITIES: Umeme / maji
7-ENEO LA WAZI: haina fensi, ila lipo eneo la wasaa la kuegesha vipando(gari ndogo na saizi ya kati) na bustani.
8-UTAYARI: yanahitajika matengenezo madogo ktk vyoo viwili.

9-BEI: Shilingi Milioni 67 (( Maelewano yapo kiasi))
10-MAWASILIANO:
-Simu namba +255 773191027 / +255 773234235
-Barua pepe: shirazy7@yahoo.com au t.eightyone@yahoo.com.

NB:
1-Picha zinasumbua sana kuupload, ila anaweza kupatiwa anaehitaji kuona kwa email.
2-Anaehitaji kuiona/kuikagua nyumba pia asisite kuwasiliana.

Ahsanteni sana.

Share: