TANGAZO LA SALA YA EID LONDON

Written by  //  08/09/2010  //  Matangazo  //  Zima maoni

Jumuiya ya East Africa Education Foundation, Madrasa ya Manor-Park na ZAWA za nchini Uengereza wanafuraha kuwaarifu Wazanzibari na waislamu wote waishio Uengereza;

Swala ya Eidul Fitri Itaswaliwa Siku ya Ijumaa, InshaAllah.

Wakhti: SAA 8:30 Asubuhi.

Mahala: Ravidasia Community Centre,

26 Carlyle Road,

Manor Park

London,  E12.

Kwa urahisi zaidi ni mkabala na duka la Sadi.
Njia zakufika: Manor park station, Bus 86,25,474,101,104

Ukumbi utakuwa wazi kuanzia 7:00 asubuhi; tujitahidini tufike mapema.

Uongozi wa jumuiya unawatakia Eid Mubarak na Funga Makubuul, Kullu aam wauntum bikhayri.

Kwaniaba ya uongozi: Ustadh Khamis: (07932721729)

Mohammed Nassor  Shloli : (07940785087)

Comments are closed.