Usafirishaji Mizigo kwenda Zanzibar Kwa Ndege
Written by Stonetown (Kiongozi) // 10/01/2012 // Matangazo // Zima maoni
Assalamu alaykum,
Kwa wale watu watakao kuwa wanapendelea kusafirisha mizigo yao kutoka UK kwenda Zanzibar kwa njia ya ndege wanaweza kuwasiliana nami Hassan Mussa kupitia nambari 07588550153.
Tutakuwa tunaondosha mizigo kila siku ya jumatano Inshaallah. Mwezi mara 4 hadi Zanzibar.
Taarifa kamili ya kampuni hii zitapatikana mara tu baada ya website yake itakapokamilika Inshaallah.
Kwa upande wa Zanzibar tunatoa huduma ya door to collection point ama Door to Door kwa upande wa Bara ni kwa sasa ni Door to port.
Kwa malezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia nambari iliopo hapo juu.
ama tuandikie email zfd@zanzibarfast.com
Web yetu ni http://www.zanzibarfast.com
This week offer, this offer ends 04/02/2012




