TANGAZO LA KIFO
Written by administrator // 30/09/2011 // Vifo // Zima maoni
Tunasikitika kutangaza kifo cha mzee wetu Mbarak Khamis kilichotokea leo,maziko yalikua leo kwenye makaburi ya kisutu Dar es Salaam,marehemu alikua maarufu wete na akiuza kahawa kibanda majira,huyu marehemu ni baba yake Eng Said Mbarak maarufu Tino,Allah ailaze mahala pepa roho ya marehemu,AMIN




