TANGAZO LA KIFO
Written by KIWEMBE // 02/08/2011 // Vifo // 3 Comments
Asalam aleikum,
Tunasikitika kutangaza kifo cha Mzee wetu, Maalim Bakary Hamad kilichotokea leo asubuhi Ole, Wilaya ya Wete, Kaskazini, Pemba.
Maalim Bakary ni baba wa ndugu yetu Alawy Bakary wa Idara ya Upimaji Ardhi, Pemba.
Maziko yalikua leo, Ole, Pemba.
Inna Lillah wa Inna Illaihi Rajiun.




