Matangazo

We are Rising Again

Assalam Aleykum

Ndugu zangu kuna habari njema ya kuanzishwa kwa kampeni maalum ya kumsaidia ndugu yetu Abdullah Ahmeid juma pichani hapo. Ambae amepigiwa na kunyang’anywa mali zake na askari wa vikosi vya SMZ, wakati akiwa kwenye harakati za kufanya biashara zake.

Ndugu Abdullah anamajonzi ya kujeruhiwa vibaya, aidha kaachwa na majonzi mara mbili kwa kuibiwa mali zake ikiwemo fedha taslimu. SHIME kwetu kwa kila ambae ALLAH atamuwezesha kumchangia tujitahidini kufanya hivyo kutoa ni moyo wala sio utajiri. Tunaweza kumchangia kupitia nambari zake za simu ya mkononi na fedha kumfika muhusika moja kwa moja, pia Tunaweza kuchangia kwa kufata link hii hapa chini 👇👇 popote tulipo duniani.

https://www.gofundme.com/wearerisingagain

ama unaweza kuchangia kupitia paypal ya mzalendo.net

Kwa wale watakuwa wanataka kumchangia kwa njia ya Tigo: 0712040060
Jina ni ABDALLA AHMED.
Vyenginevyo unaweza kutumia link hii ya gofund ama mzalendo paypal na reference ni Abdallah Ahmed kwa mzalendo Paypal

Share:

2 comments

  1. Jino kwa Jino 15 Juni, 2017 at 05:03

    Inatia uchungu inasikitisha na inahuzunisha mambo haya ndio yanayosababisha watu kuichukia serikali iliopo na vile vile mambo haya ndio ilisababisha serikali ya Tunisia kupinduliwa na wananchi wenyewe.Sasa cha kujiuliza kila atakapigwa na kuimizwa na kunyanganywa mali zake ss kazi yetu itakuwa ni kutoa msaada wakati tatizo liko pale pale mm nafikiri ni bora kutibu tataizo sugu liliopo kuliko kufanya mambo mengine ni watu kujipanga tu wakaacha tofouti zao waktafuta haki zao kwa njia yyote ile ambayo watahisi kupata haki zao zaidi ya hayo tusibiri mengine makubwa zaidi ya hili yatakujaa ,huyu kama atapona basi tusubirini watakaouliwa na tatizo sugu liko pale pale .Ni wakati wa kuacha tofauti zetu ni wakati wa kupambana kwa nguvu zetu zote kuondosha dhulma kwa njia yyote ile ni wakati wa kuwa mayatima na vizuka ili haki yetu ipatikane ili heshima yetu ipatikane ili utaifa wetu upatikane zaidi ya ahyo TUSUBIRINI KUWA MADHALILI MPAKA YA KIAMA.

Leave a reply