Habari za ulimwengu(Radio)
Idhaa za Kiswahili:
DW Swahili:
03:00 – 04:00 UTC
10:00 – 11:00 UTC
15:00 – 16:00 UTC
Sauti ya Amerika:
Alfajiri
Jioni
Vipindi
Radio Japan:
BBC:
Taarifa za Habari
Amka na BBC
Dira ya Dunia
Leo Afrika
Ombi kwa wasikilizaji:
Tafadhali kama ukiona kosa kwenye nakala hii,tunaomba ututumie barua-e anwani yetu ni admin@mzalendo.net


Vipo mbona hakuna idhaa ya kiswahili ya BBC na pia China zote zipo izo.
Pili,Badilisha phrase BADO HAKUNA KOMENTI-hichi kiswanglish?:. Comment ni Maoni au Changia. Iwe Hakuna maoni au Hakuna mchango.
Tumefanya marekebisho machache ya kiufundi hapo.Ilikuwa ukifungua hio kurasa, radio za BBC zinaanza kuplay automatically.Sasa zote zitaanza kwenye stop hadi mtumiaji akibonyeza Play.
Hilo tatizo limegundulika leo, kwani hakuna mtumiaji alieliripoti.
Kila la kheri
Au apo Komenti by Ameir iwe Mchango wa Ameir au Maoni ya Ameir-Dictionary nimekupa tizama maana halisi ya Comment
BBC hawana service ya kuwapatia watu mp3, au atleast mie sijaweza kupata link ya kudownload mp3 from BBC Swahili..
China nilikuwa sijuwi ngoja nitafute kama ntaona mp3 zao..
Asante kwa komenti zako…ngoja niupdate iyo translation…after all nimeupgrade WP…oops maoni
China hawana RSS wala mp3, kwa hiyo channel mzalendo.net haitaweza kussuport, all we can do may be put a small link to that site.