Radio Mzalendo

14 Comments on "Radio Mzalendo"

  1. ambu 02/10/2011 kwa 8:00 mu ·

    aha ni maraha matupu shukran radio mzalendo

  2. palepangu 02/10/2011 kwa 8:13 um ·

    moyo kasema kweli

  3. palepangu 02/10/2011 kwa 8:56 um ·

    Tanganyika inawatapeli wazanzibari kwa kutumia jina la Tanzania

  4. Nasour 08/10/2011 kwa 10:49 mu ·

    SHUKRANI WAZANZIBAR WENZETU KWA UMAKINI WENU NA BIDII YA KUJITOLEA. TUPO WOTE NA M/MUNGU AWAPE URAHISI KWENYE KAZI ZENU. AMIN

  5. muna 29/10/2011 kwa 7:41 um ·

    mbona watwana sisiki kitu wala sioni naona mspika tu

  6. skehani 02/11/2011 kwa 7:18 um ·

    A/lekum mbona jamni redio yetu haipatikani tena tatizo nini? mafundi mitambo tujulisheni

  7. muna 05/11/2011 kwa 2:34 um ·

    halooooooooooooooooooooooooooooo mbona mnatuzinguwa redio hapatkani pl

  8. Baalawy 12/11/2011 kwa 10:26 mu ·

    Redio imepata msiba gani jamni.. Fundi mitambo tupo habari tafadhali.

  9. rakamo25 17/11/2011 kwa 5:20 um ·

    mheshimiwa hamna sauti

  10. Msema kweli 17/11/2011 kwa 8:32 um ·

    Hii redio onasikika wapi? Mbona mimi siisikii?

  11. jaffar pandu 18/11/2011 kwa 11:17 mu ·

    Inamaana hii radio inasikika Londo tu?

  12. abdulmajid 04/12/2011 kwa 6:24 um ·

    sauti yantoweka abaa,sauti ikimbili, sauti ikimbiya sauti haina patika, hatuna isikiya, radio haijisi,

  13. Chris 12/12/2011 kwa 4:52 um ·

    mbona hii radio siku hizi nanakuwa off line kila siku?

  14. CHASASA 16/12/2011 kwa 7:15 um ·

    jamani nisaidie hii radio mbona mm siku hizi cipati ina ttz gani?

Leave a Comment

You must be logged in to post a comment.