Maoni kwenye: Sauti:Mahojiano na M.Seif – Umoja wa kitaifa

Kwa: ashakh
@ Kijini

Mara kadhaa umekuwa ukiandika maoni ambayo ni ambiguos. Hayako wazi wala hayafahamiki. hebu jaribu kutueleza angalau nasisi wenzio tukuelewe.

Katika maoni yako inaonekana mpaka leo hujasikia au hujafahamu kuwa Zanzibar kuna kura ya maoni. Nakariri:

“..hiyo mnayo iita kura ya maoni ambayo mimi siijuwi faida yake..”

Sasa sijuwi ninani mwenye uwezo wa kukufahamisha kuwa hii inaitwa “kura ya maoni”. Pia faida zake ni kadhaa wa kadhaa.

Unaposema:

”  weeeegi wemepiga hapana..”

Kwani imeshapigwa? Ninavyofahamu nikuwa kura ya maoni itapigwa siku ya Jumamosi tarehe 31/07/10. Labda mwenzetu unajuwa mengi zaidi,hebu twambie ilipigwa lini?

Unaposema:

“..lakini CCM wanaikubali ipitishwe kama tume ya nyalali..”

Kwani hii kura ya maoni itapigwana wana-CCM peke yao au ni Wazanzibar wote kwa jumla? Isiwe umechanganyikiwa, ukafikiri ni ule uteuzi wa wagombea ubunge na uwakilishi ndani ya CCM!! Tume ya Nyalali kila mmoja anafahamu, kwa maneno ya Mchonga nikuwa 20% walikubali, na 80% walikataa. Iweje hapa ufananishe hii kura ya maoni na Tume ya Nyalali?

Unasema:

“..kama hamuamini subirini mwaka 2010 asanteni sana”

Kijini uko dhahiri, hivi sasa tukokwenye huo mwaka 2010. Sasahili onyo lako linamnasaba gani na mwaka huo wa 2010? Hebu andika kitu wengi wafahamu. Lengo la kutoa maoni katika mzalendo ni kwa ajili ya kuuzndia umma. Ikiwa utabanabana kama hivihiyofaida itakuwa haipatikai.

Kwa: kijini
nasema tena matokeo ya hiyo mnayo iita kura ya maoni ambayo mimi siijuwi faida yake weeeegi wemepiga hapana lakini CCM wanaikubali ipitishwe kama tume ya nyalali vile ndio nikasema siioni fida yake na kama hamuamini subirini mwaka 2010 asanteni sana

Kwa: mrfroasty
@Manyamba, Banda

Ujumbe umefika inshallah wazalendo tutajitahid…

Maasalaam,

mrfroasty

Kwa: binamu
nAPENDA NIMTAHADHARISHE KIONGOZI ATAEPATA RIDHAA YA KUONGOZA KUWA NDANI YA KUNDI L KONDOO , WAMO PIA NA MBWA MWITU. HAWA VIONGOZI TULIONAO SASA AMBAO AMEWATEUA MWENYEWE RAIS KARUME NDIO HAWA HAWA WANAOMDHALILISHA NA KUMPINGA KWA GHARAMA ZOTE. NI DHAHIRI KUMBE MENGI ANGALIWEZA KUYAFANYA KARUME LAKINI KUTOKANA UTIMBAKWIRI WA WATU WAKE MWENYEWE WALIOKUWA WAKIMRAMBA KICHOGO WAMEMREJESHA NYUMA SANA, SASA HAPA IWE NI SEIF AU SHEIN HILI NI SOMO KWAO. IKIWA KWELI WANATAKA KUIBADILISHA ZNZ NA WAZANZIBAR KIMAENDELEO BASI WAWE MAKINI SANA KATIKA KUCHAGUA NANI AWE WAZIRI , KATIBU MKUU NA HATA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA. NINGALIKUWA NI KAMA MIMI SASA HIVI NINGALIKITUMIA SANA KIPINDI HIKI KUJUA NI NANI NITAWEZA KUFANYA NAE KAZI NA TUKAWA NA LENGO MOJA NA NANI NI KIBARAKA, AKICHEMKA KATIKA UTEUZI KWA KUWEKA MBELE MASLAHI YA KICHAMA KULIKO NCHI BASI KITAKACHOTOKEA ASIJE AKAMLAUMU MTU.

PILI KARUME TAYARI AMESHAJIFUNZA KWA MAKOSA ALIYOYAFANYA, SASA KAMA KWELI ANATAKA KUTUNZA HESHIMA YAKE INAYOPOROMOSHWA NA WALE ALIOKUWA AKIDHANI NI WENZAKE, BASI INABIDI AKAZE KAMBA KUHAKIKISHA UCHAGUZI UNAENDA WA HAKI ILI AMANI IPATIKANE. SOTE TUNAHUBIRI NENO LA AMANI LAKINI AKIKUJIA ADUI NA PANGA WEWE HUTOMPA MKONO BALI UTATAFUTA LAKO, NI KUSEMA IKIWA HIVI SASA YATARI MAZOWEZI YANAYOFANYWA YANAASHIRIA FAULU, RUSHWA, MIKUTANO YA SIRI SIRI , VIGENGE BASI NI WAZI KUWA YALE TUNAYOYAHUBIRI YAKO MBALI. kIONGOZI MMOJA ALISEMA TUKISHINDWA KIPINDI HIKI KUENDESHA UCHAGUZI KWA NJIA YA SALAMA NA AMANI BNASI TUJUE KUWA ZNZ ITAKUMBWA NA MACHAFUKO AMBAYO HAYAJAWAHI KUTOKEA. mUNGU ATUEPUSHE NAYO.

Kwa: kayson
MTAZAMO WANGU NA MSHTUKO WANGU

Mimi nishaingiya wasi wasi wa kubadilishiwa box la ndio likawa siyo na siyo likawa ndio  wezangu hapo mushapaona kwani hawa ccm sio. mimi mtoto wa muwakilishi lakini kwahili lililo fikiya hata baba yangu analiunga mkono na akisema kila leo kuwa yeye yake ni NDIO na wanawe wake wote waweke NDIO . lakini CCM matapeli wanakulana wenyewe kwa wenyewe seuze wewe mgeni.  tujitahazari na  sana  kwa CCM vigogo

Kwa: binamu
Mimi naona hao kwanza sio wazalendo wala hawaumwi na  hii  nchi na ndio maana wanahitaji kwa gharama zozote watu walipinge na kupigia kura ya hapana ili lao lifanikie. Lakini kwa maoni yangu ikiwa wewe ni  mtu mwenye akili timamu na mwenye kuendeshwa na utu uzima wako baadala ya kusukumwa kama mtoto au kuendeshwa kwa remoti, nina uhakika hutokubali kuuza utu na haki yako kwa vijisenti ambavyo havikufikishi wala havikuhakikishii hata kula yako ya siku mbili. Jiulize wewe, yawaje mtu kama huyu atoe mpaka fedha zake akupe wewe ati nenda katie hapana, lazima ujiulize, ni kwa nini siku zote hajakupa akakwambia kuwa nakusaidia kama kweli ana imani na mapenzi nawe. Huko ni sawa na mtu kuja kumchumbia mwanao akiazima joho la kifahari na gari la kifahari ili tu umkubalie kumpa mwanao, kama utakuwa na akili timamu basi hutokuwa tayari kwa hilo. Ni kumuuza mwanao kwa ganda la njugu huko, thamini na jitukuze kwa hali yako.

Jamani, nakuamsheni waislamu na wananchi wenzangu:

Kwanza huko ni sawa na kukubali kuhongwa, hakuna kitu cha bure bure, jua kuwa kama alivyotumia fedha yake kukununua wewe na wewe ukakubali kununuliwa basi hata ukimridhia anajua kuwa atakukamua tena wewe wewe ili arejeshe fedha zake, ndugu yangu, huko ni kutumiwa mgongo wako kuvuukia bahari wakati ukizamishwa wewe muokowaji.

Kwa upande wa pili, nakutanabahisha nikiamini kuwa miongoni mwa munaopokea hivyo vijisenti ni waislamu, nasi tumetakiwa katika kitabu chetu kukumbushana, M/Mungu anasema, amemlaani mtoa rushwa, mpokeaji na mwenye kuchangia kati ya wawili hao, elewa kuwa kumbe hio hasara sio kwa hapa duniani tu lakini mpaka mbele ya hakki, tahadhar, maisha hayana garantii.

Na mwisho ikiwa umeshapokea na pengine kushatia kharamu mwilini mwako, kuwa mjasiri kama ndugu zetu wa kule kina yahe- Pemba, walipolishwa mahela na kina Mbaatia na Mrema wakitumai kuwa watawanunua wapemba na kuwapa majimbo, kinyume chake mtu hata ile kura yake mwenyewe mpokeaji wa lile nofu haikupatikana, Usikubali kuuza haki yako na kudhaalilisha utu wako. Hao wote wanaopiga kampeni hiyo hata hawajuulikani vyama vyao si CUF, si CCM bali ni popo hao.Kwa sababu kama vyama ndio vinavyowahamasisha, na viongozi hao hao walitamka hadharani, leo wanawapitia tena wafuasi wao wakiwa na kauli nyengine jueni kuwa munaongozwa naa wanafiki, na wanafiki ni wabaya kuliko wauwaji, kama ni kweli wana hoja kwa nini wasitamke hadharani. Mimi ningalikuwa kiongozi basi hao kwanza ningaliwavua  uongozi na hata uwanachama, na baadae nikawatia katika kundi la wachochezi na kuwafunza siasa na uongozi ni nini. Tunataka kiongozi ambae anaweza na anajiamini kusimama popote na kutoa msimamo wake kwa anaowaongoza, awe muwazi sio ndumi la kuwili, watu kama hawa hata wakati wa Mtume walikuwako na ndio mpaka M/mungu akawataja kwenye quran kuwa wakiwa na wewe Muhammad husema sisi ni waumin wa Uislam na wakiwa na makafir wenzao husema hakika sisi tuko pamoja nanyi isipokuwa wale tunawacheza shere tu. OGOPA MNAFIKI HATA KAMA NI MZAZI WAKO-HAFAI

Kwa: popobawa
Hawa watu wanaogawa vijisenti wasiwarushe roho. Wanachokifanya ni kutapatapa roho wameona kuwa wananchi walio wengi wamefahamu maana ya kura hiyo na uwezekano wa kupita ni mkubwa.

Sijui watagawa pesa kiasi gani hata wawatosheleze raia wote. Hapa tutahadhari na kubambikiwa pesa feki. Mbinu zao ni dhaifu ni sawa na kutia sindano katika bahari ya Hindi.

Inshaallah kura itapita.

Kwa: Manyamba
@mrfroasty @banda

hata mm nakuunga mkono ndugu banda maana ktk mtandano imezoeleka mawazo yafanane tu na yasipingane na wengine lazima uhuru wa demokrasia uwepo kila mmoja ana upeo wake wa kufikiri na kuchambua, kwa mfano mm jana nilitoa mawazo tofauti na wenza ngu lkn nikasakamwa sana na mr froasty pamoja na wengine na kuambiwa maneno ya kejeli na fedhuli kwamba mm ni mtangayika nimetumwa tu.. sasa kwa kweli hali kama hii ahileti picha nzuri .. mtu akitoa mawazo yake aheshimiwe au kama kuna mtu ana hoja tofauti na yy atoe na sio kumshambulia. ashante tuko pamoja hata mm naunga mkono kura ya NDIO NDIO NDIO KWA ZAZNIBAR YETU IFANIKIWE.

Kwa: kassim
Ni juzi tu, nilisema hakuna ubaya kupinga hii serikali ya umoja wa kitaifa. Lakini iwe kwa nia njema. Nikasema kwamba ingekuwa vizuri, hawa wanao pinga na wao wakatupa sababu zao za msingi, moja, mbili, tatu… ikisha na sisi tuka tafakari.

Kusema wana siasa wetu ambao wanapinga hawaja tufanyia haki kwa hili. Tulitegemea wao kama wana siasa ni watu wanaona mbali, kwa hiyo ndio inakuwa dira yetu kwenye maamuzi makubwa makubwa kama haya. Mimi leo ukinipa katiba, basi nitadodosa tu ama nitasoma tu kama kasuku.

Kama mtu hakupewa jukwaa, kwanini asiseme mimi kama mtu fulani, napingana na hili wazo na sababu zangu ni hizi. Nani atamlaani kwa hilo? Kwa hiyo si kweli kama hawa watu hawaja pewa majukwaa. Tumesha sikia wawakilishi wengi wakisema kuwa wao wanaunga mkono, lakini wanaogopa wasije kukosa kura, akaa wewe kweli muwakilishi? Au unajali tonge yako tu. UK kuna MP mmoja wa conservative David Davis, kuna wakati mmoja alikuwa anapingana na hoja fulani na kwasababu chama chake hakikuwa wazi kwa hilo, basi aliamua kujiuzulu Ubunge wake, baada ya mwezi mmoja uchaguzi ukafanywa, akarudi tena kwa wapiga kura wake wa jimbo. Na wao kwasababu walikuwa pamoja na yeye kwa maamuzi yake, wakamrejesha. kwa hiyo sasa hivi ni mbunge japo kuwa apepotezeza uwaziri kivuli wakati wakiwa upidhani na sasa hivi wameingia serikali amebakia kama mbunge tu. Tukiweka maslahi ya nchi na watu wake ambao ni sisi basi inshallah tutafanikiwa.

Nampenda Maalim Seif na siasa zake. Mara nyingi anapoingia kwenye uchaguzi, hupendelea kupata asilimia nzuri. Ili aweze kuwa na sauti pale anapo amua kitu. Na kwa hili tayari tuna uhakika wa kupita japo kwa asilimia ndogo, lakini nalo tayari kashaanza kuliangalia vizuri. anayo sema ni kweli, kuwa kupata asilimia 52% bado tatizo hatuja litatua. Kinadharia sasa hivi tunaweza kuona hali imekuwa shuari kwasababu ya maridhiano. Lakini ukweli hasa wa mambo upo kwenye kura ya maoni. Siku ya Jumamosi tuna mambo mawili matatu ya kuangalia. Moja ni ZEC, jee hawa watu wamekubali kujibadilisha na kulinda haki za watu. Kama kura ya ndio itakuwa ipo juu kwa asilimia hiyo asemayo Maalim Seif na mimi naomba ifike 80%, basi hapo tutaanza kujenga matumaini na kwa uchaguzi ujao. Kufanikiwa kufanya uchaguzi ulio hutu na haki, ndio kusema maridhiano yamefanikiwa na hapo ndipo tutakapo weza kujenga serikali iliyo safi ya umoja wa kitaifa.

Nakumbuka kwenye uchaguzi wa 1995 Maalim Seif kwenye kampeni zake alikuwa akisema kuwa kama atapata ridhaa ya kuingia serikalini kama Rais wa Zanzibar, basi yupo tayari kufanya kazi na mzanzibari yeyote, la muhimu ni mchapa kazi. Kulikuwa na fununu za hapa na pale mmoja ambaye angeweza kufanya naye kazi ni Said Bakari Jecha. Huyu alikuwa Shein Mwengine wa miaka ile. akitokezea mtu na kusema eti anataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma, huyo ni mwandawaimu.

Kwa: zenjiboy
mkifanya hivyo tutafurahi sana ili tuthibitishe kama CCM pia ipo kwa ajili ya Zanzbiar si Tanganyika tu. inshaAllah kher siku ya Jumamosi.