Maoni kwenye: Sauti:Sikiliza mahojiano baina ya DW na Bakari Shamte.

Kwa: virus99
Baraka Shamte anachopigania kupata kiongozi wa kukijenga chama chao!! kwa sababu kimevunjika!!Sasa haki hio anayo, mwachieni apiganie kiongozi bora ili ajenge chama !! kwake chama ni bora kuliko nchi au mkowa!!sasa dogo hilooooooooooo ???

Kwa: Abuu Said
Asalam alaykuma ndugu zanguni,

Nimefurahishwa sana kuona vijana wote mlotoa maoni yenu kua mnajua Rais wa Zanzibar ni yule atakaeteuliwa na CCM sio vyenginevyo na ndio maana nnaomba chama cha CUF kifungwe (niulizeni kwanini? muda mwengine).

Kwa kweli inahudhunisha kuwaona watu wanampaka matope DR Salmin Amour na kumsifu Masharabu, hebu nikuulizeni kwani masharubu alikua hayumo kwenye serikali ya awamu ya tano? Jibu alikuwemo sasa huyu bwana(Masharubu) kafanya yale yote na kuiba kila pembe ya fukwe za Wazanzibar na bado mnamsifu achene hayo msiwe madumla kwa kumkubalia huyu masharubu na muafaka wake fake ( ule ni mtego…)

Haya mimi nikikwambieni mnaniona Kada hilo, laa , bwana hawa watu wote hawatufai . Zanzibar intaka vijana wampya wasiokua na chuki wala majungu.

Ahsanteni

Kwa: mtumbatu
baada ya muda si mrefu wakucheka atacheka na wakulia atalia.hata awekwe nani  ni walewale tu mafisidi na wanaotumalizia nchi yetu. mungu awalani

Kwa: kassim
Naona kila mmoja anasema vyake kuhusu Dr Shein. Mwanzoni tukiambiwa Kikwete ndiye aliyemshauri agombaniye na ndiye chaguo la Bara na baadaye tukasikia Aman Karume anapendelea Dr Shein awe ni mrithi wake kwa vile hana magurupu na ni mtu ambaye ataweza kuendeleza haya yaitwayo maridhiano.

Leo tunasikia eti kajitowa baada ya kupata ushauri wa Kikwete na mwanasheria Mkuu! Inawezekana kikwete, lakini mwanasheria mkuu kwani ni mtu wa chama?

Kwa: Big Boss
Asalm alykum

Huyu Baraka anachozungumza yeye ni kuwa Bilali anauwezo mkubwa wa kukiongoza Chama, kwa hiyo Wazanzibari tuamke huyo mpiga debe mkuwa aliekwenga kumpigia debe bilali ansema hivyo, kwa maana hiyo tukubali yeye aongoze chama lakini hana uwezo wa kuongoza nchi, anaeweza kuongoza yupo KURA ZOOTE KWA MAALIM SEFU

Hakiiiiii

Kwa: sarhan salim
salaam wazanzibar, junius washa utani ikiwa kweli hayo unayo yasema , na mafisadi  kina salmin watarudi serkalini, zanzibar kutawaka moto , jamani hatari hiyo inatukabili yarabi kheri.

Kwa: depsis
Ewe Mola wetu mtie nakama na kitahanani, umpeperushe nchi yetu aione paa tu na usimrudishe kutoka Dodoma yeyote ambaye ameweka nia ya kuifarakanisha Zanzibar yetu (AMEN)

Kwa: Junius
WAZALENDO KABLA SIJAMSIKILIZA KADA BARAKA MOHAMED SHAMTE NATAKA NIWADOKEZE ZA DODOMA ASUBUHI HII KUNA HABARI KUWA DR.SHENI AMEJIONDOA KATIKA KINYAN’GANYIRO CHA URAIS BAADA YA MASHAURIANO NA BOSI WAKE KIKWETE NA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI.

HABARI ZAIDI NAULIZIA WATU WA JIKONI AU MPAKA KUCHE.

J

Kwa: tahti zamba
Ama kweli watu wanakuwa na ubongo kwenye vichwa vyao lakini huyu Baraka Shamte naona ana matope kichwani kwake.

Anatwambia ikiwa mgombea wao hatachaguliwa basi kasi ya maendeleo itapungua.  Kwani kuna maendeleo gani ya kujisifia Zanzibar ambayo yameletwa na Salmin au huyo Bilali badala ya kutia fitna, chokochoko zisizo na faida yoyote.

Baraka Shamte funga mdomo huna mpya maana Dr. Bilali hatakusaidia chochote kama hao waliopita

Kwa: Gumegume
Muarab na spark; Huyu Baraka Shamte analilia njaa, bado ana mawazo ya kule nyuma kamando na ufujaji wa fedha. Katika kipindi cha Rais Amani hakuwa na kete…kwa hiyo mtazameni analilia njaa, ndio hawa wanaouza utu kwa kuganga njaa, hata hivyo anajihangaisha ataendelea na njaa yake mpaka hivyo hivyo, kutokana na kukosa shukurani na unafiki. Hata utaona amejifanya msemaji wa Wazanzibari. Ebu tumulize hao wazanzibari 75% wanaomtaka Bilal wako wapi? Wamemtuma lini? Au ndio kusema njaa yake imenchanganya? Sasa wanamzalendo ninaanza kupata picha kuwa hili kundi la akina Bilal ni kundi baya sana na ndio wanaotaka kuvizisha maridhiano. Tukumbuke tuwa Bilal nchi ya Kamando wametumisha ubaguzi mpaka na kuwafanya wazanzibari (Unguja na Pemba) wajione kama maadui kila mmoja kwa mwenzake.

Sasa Baraka Samtee chukua ujumbe huu, InsaAllah Mwenyezi Mungu tunamuomba asiwe pamoja na nyinyi wa wenzenu kam nyinyi wanataka kuendelea ubaguzi na ufisadi miongoni wa jamii.Na  wewe utaendelea na porojo tu huna lako; kwa sababu Mwenyezi Mungu ametakaza sana mambo hayo ya fitna, ubaguzi na kujifanya wewe ni bora. Ndugu yangu bado jembe unaliweza japo kulima mchicha wacha kusubiri kutia fitna kwa ajili ya kuganga njaa; kama umri ulifikia bado hujawahi kula ukashiba; Allah Alam. Wacha fitna zako na tafuta vitabu uhudhurie darsa, InshaAllah Mwenyezi Mungu akakutanabahisha ukaachana na fitna na ufisadi.  Mungu itarini Zanzibar na Wazanzibari. Pia tunakumba uwatanabahishe wale wote wenye kiburi na chuki za kuendeleza fitna na ubaguzi miongoni mwa Wazanzibari