Login



Fotos

Get the Flash Player to see the slideshow.

Taarab

TAARABU MBALI MBALI KUTOKA ZANZIBAR
Bashraf  
Afkari  
Usijigambe  
Kanilemaza  
Nnazama  
Ukinichungua  
Masikini Roho Yako  
Wasikitisha  
Waridi Lisilo Na Mwiba  
Nipepee  
Pendo kitu cha khiari  
Cheo chako  
Nimekonda Kama Uzi  
Dhahabu  
Hidaya  
Jipeleleze  
Jua toka-Bi.Kidude  
Khofu yako ondoa-Mohd Ilyas  
Wache waseme-Machaprala  
Naomba kwako-Machaprala  
Kwa moyo wa ukunjufu-R.Ramadhan  
Cheka -Ratiba  
ASPYL
Afro/Tanu  
Amtendae  
Furaha  
Hunitaki sikutaki  
Mzigo  
Mpita Njiani  
Niahidi dunia  
Njoo Mpenzi  
Ushoga  
Uyashike  
Vumilio  

Ombi kwa wapenzi wa taarab
Kama unazo nyimbo za taarab asilia na utapendelea kuwapatia wapenzi wengine tafadhali tutumie nyimbo hizo na tutaziweka hapa.Hizi ndio taarab zote zilizofika MZALENDO.NET hadi sasa.Na hatujapokea nyimbo nyengine.

Jinsi ya kututumia nyimbo {Maelezo haya yanahitaji Internet}

Kutuma nyimbo kwetu ni rahisi sana kwa kutumia teknolojia inayoitwa File Transfer Protocol yaani FTP.Kama umezowea kufungua My Pictures, au My Documents kwenye komputa yako basi hakuna tofauti yoyote na njia hii ya FTP.Kawaida unafungua My Documents,My Pictures sasa badala yake ya My Pictures au My Documents hapo juu kwenye address bar na andika anwani yetu ftp://mzalendo.net/upload/ na ubonyeze kitufe cha “‘Enter”.Hapa utakuwa umefungua Folda linaloitwa upload liliko kwenye komputa ya MZALENDO.NET, na unaweza kukopi mafaili na kuyapaste.Fanya stahmala kidogo, kwasababu mafaili yanasafirishwa kuenda komputa ilioko masafa ya mbali.

Hatua za kutuma mafaili

  1. Fungua Window Explorer kama ifuatavyo:Start->All Programs->Accessories->Window Explorer
  2. Kawaida utaona kwenye address bar My Documents, futa na andika ftp://zanbytes.com/upload ikifuatia na kubonyeza “Enter”
  3. Kopi na Paste mafaili yote ya taarabu kwenye window uliyofungua kwenye hatua 2, na usubiri au uendelee na pirika zako kwa kuacha mafaili hayo yasafirishwe kuja kwenye mitambo yetu.

Ufafanuzi wa picha:

Nukuu:

Ushauri tungeliomba usipasti mafaili mengi kwa wakati mmoja, haswa kama uko Afrika Mashariki.
Asanteni

Share and Enjoy:
  • Facebook
  • Twitter
  • Digg
  • MySpace
  • del.icio.us

Maoni yamefungwa.