Maoni kwenye: Khadija Baramia

Kwa: Othman
kiukweli hasa dada anajua kuimba nyombo zimetulia hasa,.nauliza hivi kulikua na chuo ambacho kilikua kinafundisha kuimba au ni kipaji tuu ,manaake mimi nilikua bado sijazaliwa kipindi hicho hebu naomba jibu kwa ambao wenzangu wanajua au walikuwepo katika kipindi icho.

Kwa: umfatma
Nyimbo hii inanikumbusha mbali KIKWAJUNI zama za NUR-LUYUN

zaidi ya miaka 22 tokea nihame zánzibar. Iko wapi zanzibar ya zaman

Hongera da Khadija hatokei  mfano wako!!

Kwa: TEDDYBOY
IT’S TRUE HOME SWEET HOME sasa ndio nagunduwa umuhimu na asili, i love taarab just becouse zinanikumbusha mengi maishani, kiundani old taarab zina raha ya fumbo na mafunzo ukiridhia utasinzia sio kama sasa matusi na mipasho

Kwa: Mussa Abubakar
Kiukweli huyu Dada ndie muimbaji wa kike waliowahi kutokea ZANZIBAR…Taarabu ni nyimbo ambazo hua na utulivu..kuburudisha na kuleta hisia kwa hadhira..Fortunately Bi Khadija amefanikwa kwa hilo….Ninachokiona kwa waimbaji wengine wa kike wa znz ni kupiga zogo..Ingawa kuna baadhi yao wanaojitahidi km Mwanahawa Ali,Sabah Salum, Rukia Ramadhan, Khadija Kopa bila kumsahau. Khadija Yussuf…..

Haina maana kwamba niliokua sikuawataja hawaimbi vizuri…. but kwa upande wangu hawa nilowataja nyimbo zao naweza kuckiliza na hasa wanapoimba old taarabu co modern taarabu anayoimba Mzee Yussuf haijulikani kama ni mordern Taarabu Old Taarabu wala Bolingo ipo ipo tu

Kwa: muhanah
wewe hauja wasikia waimbaji, kuna waimbaji wengi wazuri zanzibar

Kwa: hightide
mashairi ,muimbaji na vinanda vimepangilika vyema,mihemo ya sauti iko sawa ,nampongeza kwa uimbaji wa hisia kali.

Kwa: Mere Mwaipopo
Ukweli Dada huyu anaimba vizuri sana ukilinganisha na Waimbaji wengine wa Zanzibar.

Nampongeza sana sana