Old is gold – 1

Nimekupokea  
toka__haya__nenda  
WAKEREKAO  
Nnamliwaza  
shada__la_maua  
si_lazima_-_nonini  
shaba__kutu_ni_maumbile  
znz_starz  
Tumekinaiana  
Nimezama  
mtoto_kajaaliwa  
usione__so_sema_nae_-taarabu  
Siathiriki  
niraha_ya_moyo_wangu  
nabembea_nae  
Wanitazama  
pendo_la_moyoni  
omar_koppa  
Sikitiko  
Track03-0  
sitaki_lawama  
umasiki_wangu_-tarabu  
omar_kopa  
nifagilieni_____omari_kopa  
viumbe_wazito  
mohd_ilias  
Msinilaumu  
Track02-0  
unalo_lilokuka_na_roho  
nimtakae_hataki  
nawaseme_wasemavyo  
sitaki__shauku  
usiku__wa__fadhila__renew  
sabalkheri__mpenzi  
tumependana__kwa_siri  
Mwiko  
Track04  
Tunaposhikana  
sabahalkheri_mpenzi  
mimi__kukupenda__wewe  
nina__neno__langu  
umasikini_wangu  
usijigambe_2  
pita  
pendo__letu_la__halali  
Sihiyari  
mzee_yussuf  
sina_bahati  
Selelea  

8 Comments on "Old is gold – 1"

  1. ashakh 24/05/2010 kwa 11:09 mu ·

    Ahsante Mkuu;

    Sasa hivi utawafanya Wazalendo wakumbukie zile enzi zao wakati wako Bwawani, Haelessellasi, NgomeKongwe, au Forodhanni.

    Hata hivyo sinabudi kutoa maoni yangu kuhusianan na page hii.
    Tunahitaji kutofautisha baina ya TAARAB na RUSHAROHO. Hivi ni vitu viwili tofauti. Kazi hii ningewaachia wenyewe kina Maalim Idd Farhan, Sh Bakar Abeid, nk, kwani wao ndio SIKIO (wengine ni ndewe tu).

    Lakini ninavyo fahamu nikuwa TAARAB inatokana na neno na muziki wa kiarab hususan Misri. Ilipoiingia taarab Zanzibar, Wazanzibar waliibadilisha kidogo ili iendane na mazingira na lafdhi ya lugha ya Kishwahili.

    Mwanzoni mwa miaka ya 90s, Wazanzibar haohao, waliona ipo haja ya kuboresha au kuvumbua aina mpya ya muziki wetu. Mwanzo walikuja na aina ya MODERN TAARAB. Hii haikuwa na tofauti saana na ile taarab tuliyozoweya. Kwani mashairi yalikuwa ni yaleyale yanajengeka kwa vina, mizani na vibwagizo. Pia mashairi yake yalikuwa na mfumo hulehule wa kifasihi.

    Wakati ulifika, wasanii wetu mojakwamoja waliubadilisha mtiririko mzima. Walianza na kutunga mashairi amabyo ni tofauti na yale tuliyozoweya, utumiaji wa ala mpya, zaidi walibadilisha mfumo mzima wa taarab. Hapo ndio lilipozumbuliwa neno RUSHAROHO.

    Ili kukuza lugha yetu ipi haja ya kuangalia kwa kina toauti hizi katika muziki wetu. Ikiwa jina RUSHAROHO haliendani, ni wakati wa wasanii wetu wa lugha kutafuta neno jengine na kulibandika katika aina hii ya muziki.

    Mwisho nawaomba kadri tunavyouweleza muziki wetu hatuna budi kuonesha tofauti hii.
    TAARAB ibaki kuwa ni taarab.
    RUSHOROHO ibaki kuwa ni rusharoho.

  2. khalef 09/11/2010 kwa 9:15 mu ·

    taraab ni yetu na rusharoho ni yawabongo na itabaki hivyohivyo….

  3. awena 12/11/2010 kwa 6:53 um ·

    mwanangu maneno msumar uloyasema

  4. zamko 15/11/2010 kwa 8:34 um ·

    Jamani naomba niwekeeni ile nyimbo ya

    kibao chake makumbi ndicho anachokalia, hatanawe havinimbi wataka kunichezea. nafikiri imeimbwa na bibi Rukia ramadhani.

  5. has 30/12/2010 kwa 8:53 mu ·

    Naomba mutuweke nyimbo yenyewe tuki click tuweze kuisoma hatutaki majina tu ya nyimbo kwani tunayajuwa,turekebishieni hili.

  6. mwanafitri 28/07/2011 kwa 11:18 mu ·

    mm naomba nielekezwe njia gan nitumie kupata kasida za zanzibar kwa mfano kama madrasatul kadiria, nasearchknw internet lkn sipati

  7. hilal 17/11/2011 kwa 10:17 mu ·

    naomba niwekeeni ile nyimbo mpunga unavyo twangwa

  8. mimi wewe 17/11/2011 kwa 5:57 um ·

    NAOMBA WIMBO WA BARAGUMU,SIKU YA MASIKU NA MALKIA WA NYUMBANI

Leave a Comment

You must be logged in to post a comment.