Old is gold 2

kajaomba_samahani  
lailatul_el_kadir  
08_nyonda-seif_salum  
mapepe  
kwa_nini__asitambe  
07_nimempenda_kwa_mengi  
Hakubahatisha  
kauli_natoa  
kusudi__langu  
07_hakika-_seif_salim  
masikini_roho__yako  
07_mpenzi_wangu_hawezi  
Gazija  
katoka_bomba  
Cheka  
Jimbo  
juu__ya__miba__inochoma  
hozi__la__mahaba  
jipike__ujipakue  
Kiu  
06_shada_la  
Kasha  
07_kioo-mukrim  
every__birthday  
iwapi_ile_bahati  
12_usijaribu_-_ay  
cheka_-_cheka  
imetulia_hiyo  
kama_noma_iwe_noma  
jamhuri__visiwani  
inshaallah_hatutoachana  
hunitaki__wanisumbua__kwa_nin  
aandikalo_mola_halifutiki  
aso_mtu_ana_mungu  
06_tupendane_siku_zote-_seif_salum  
fikiri__utanabahi  
Kikulacho  
Hukupata  
hazina_yetu  
Beru  
katu_sitobabaika  
10_hidaya-rukia  
huna__muamana  
07_salamu_kanisalimie-mukrim_hamdan  
kukupenda__sana  
anajua_kupenda  
09_nipepee  

6 Comments on "Old is gold 2"

  1. mambo2010 10/11/2010 kwa 10:36 um ·

    Kwanza sina budi kuushukuru mtandao huu kwa kutuwekea nyimbo hizi ambazo ni “dhahabu” kwetu. Asanteni sana.
    Pili naomba mnifahamishe namna ya kuweza kuzipakuwa (download) nyimbo hizi badala ya kuzisikiliza kwenye internet tu.
    Asanteni sana.

  2. Binshaamis 30/11/2010 kwa 11:15 mu ·

    JAMUHURI-VISIWANI IKO JUUUUUUU GNU – 2010 (Reflects)

  3. Great thinker 07/01/2011 kwa 3:17 um ·

    Naomba link ya kudownload baadhi ya nyimbo hizi. Ahsante.

  4. ali said ali 07/02/2011 kwa 4:06 mu ·

    nafurahi kuona nyimbo za marhum prof seif salim mungu ailaze roho yake pahala pema peponi inshallah.
    pia napenda kuwafahamisha ndugu zangu walioomba kutaka kujua jinsi ya kudowlord kwamba kwanza wadownlord kitu kinachoitwa free music zilla kupitia internent kisha kuisstol wacheze nyimbo unayotaka kudowlord huku ukihakikisha unaiona ndani ya free music zilla na accept(click) downlord.utaona inaanza kujidonlord.ukitaka kuziona nyimbo zako zilokwisha maliza kudownlord nenda my computer ,hard disc, then downlord utaziona.
    asante napenda old is gold kweli kama zipo nyengine naomba mtuekee hususan za seif salim marhum .

  5. ali maalim 11/07/2011 kwa 3:55 um ·

    Ahsante kwa kutoa hii nafasi ya maoni lkn cha kushaanga ni kuwa mnaseme hizi ni old mie ninavyojua hizi si old siwaoni nyimbo za Ikhwaani Swafaa, Culture group,asali halali yake na nyingine nyingi
    ali maalim

  6. mimi wewe 17/11/2011 kwa 11:52 um ·

    NYIMBO ZA KINA MZEE YOUSUF,KHADIJA YOUSUF SIO OLD IS GOLD,TAFADHALI WEKENI OLD IS GOLD KWELI.ZIPO NYIMBO NYINGI TU ZA NADIIKHAN,CULTURE,MUEMBE TANGA, N.K.HEBU TUWEKEENI.
    HATA HIVYO KAZI MLIYOFANYA NI NZURI,HONGERENI SANA

Leave a Comment

You must be logged in to post a comment.