Login



Fotos

Get the Flash Player to see the slideshow.

Migawanyo

Kumbukumbu

Video:Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru

Mr. Mohamed Said introducing Dr. Harith Ghassany’s new book “Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru”. The presentation was infront of MSAUDI members at University of Dar-es-Salaam, Tanzania.
YouTube Preview Image

Share and Enjoy:
  • Facebook
  • Twitter
  • Digg
  • MySpace
  • del.icio.us

1 Maoni Video:Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru

  • zamko

    Saaalaam ndugu zangu wazanzibari wa nje na ndani ya visiwa vyetu.

    Mimi nimefurahi sana kuona kwamba kitabu hichi kimekua introduced katika MSAUDI. Hapa ndipo pahala pakuanzia, watu wataweza kufahamu nini maana ya Mapinduzi na Wazanzibari tumepoteza mambo mangapi na huu Muungano wa Tanganyika.

    Nivizuri kitabu hichi kitumike katika mashule yote ya Zanzibar ili watoto wetu waanze kujua historia ya visiwa vyao. Na sio kusomesha historia ya MKWAWA NA VUTA VYA MAJI MAJI.

    Kinachowasumbua vijana wetu wakizanzibari hasa wale wanaojiita (CCM YOUTH); nikwamba hawaijui historia na asilia ya Visiwa hivi viwili. Ndio maana wanapandikizwa chuki na kasumba za kisiasa zilizoletwa na watu wachache kwa faida yakuia Zanzibar na utamaduni wake.

    Mzanzibari ZINDUKA NA IJUWE HISTORIA YAKO ILI UPATE KUTETEA UTAMADUNI NA UTAIFA WAKO.

    IDIMU UNGUJA NA PEMBA, WADUMU WAZANZIBARI, UDUMU UMOJA WA WAZANZIBARI.