Maoni kwenye: Video:Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru

Kwa: mzanzibar Alisi
didnt you read the colonial constitution ?basi hata mkiambiwa vipofu ndo hamuoni kwa sababu ya kupenda rangi nyeupe,hata hujisikii vibaya kutetea wakolon i wa kiarabu kisa tu ni madaraka,sisi waafrika tutaendelea kuiongoza zanzibar na omani bado ipo chini ya zanzibar kwani ufalme ni wa mtu mweusi thanksssssssssssssssssssssss

Kwa: mzanzibar Alisi
Mimi ni mzanzibar halisi hasa,jamani wacheni owongo,hiki kitabu ni cha CUF na wapemba

mm mwenyewe ni mpemba ndio maana hatupendwi kwa vituko vyetu,tuache uzandiki!!!!muarabu na Afrika wapi na wapi?muarabu hana uhalali afrika ni wakoloni tuache ukoloni wa akili na kujipendekeza,muarabu,wazungu wote ni makafiri,waarabu waliongoza zanzibar na kuwatesa waislam wenzao waafrika je hii ni haki?

Kwa: zamko
Saaalaam ndugu zangu wazanzibari wa nje na ndani ya visiwa vyetu.

Mimi nimefurahi sana kuona kwamba kitabu hichi kimekua introduced katika MSAUDI. Hapa ndipo pahala pakuanzia, watu wataweza kufahamu nini maana ya Mapinduzi na Wazanzibari tumepoteza mambo mangapi na huu Muungano wa Tanganyika.

Nivizuri kitabu hichi kitumike katika mashule yote ya Zanzibar ili watoto wetu waanze kujua historia ya visiwa vyao. Na sio kusomesha historia ya MKWAWA NA VUTA VYA MAJI MAJI.

Kinachowasumbua vijana wetu wakizanzibari hasa wale wanaojiita (CCM YOUTH); nikwamba hawaijui historia na asilia ya Visiwa hivi viwili. Ndio  maana wanapandikizwa chuki na kasumba za kisiasa zilizoletwa na watu wachache kwa faida yakuia Zanzibar na utamaduni wake.

Mzanzibari ZINDUKA NA IJUWE HISTORIA YAKO ILI UPATE KUTETEA UTAMADUNI NA UTAIFA WAKO.

IDIMU UNGUJA NA PEMBA, WADUMU WAZANZIBARI, UDUMU UMOJA WA WAZANZIBARI.