All posts tagged Habari za CUF

Picha:Taifa star Canada
09/10/2011, Zima maoni

mzalendo_cuf_bwawani
IKO WAPI CUF YA 1992-93?
04/06/2011, 34 Comments

Inanijia huzuni, huruma na kutokwa na machozi ninapoona na kukumbuka picha kama hizi (picha za wafuasi, wanachama wa CUF ...

Katibu Mkuuwa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad akiijaribu moja ya gari zilizotolewa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Konde Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni moja ya ahadi zao kwa wananchi wa jimbo hilo wakati wa kampeni za uchaguzi, ambapo waliahidi kuwapatia huduma wananchi wote wa jimbo hilo bila ya kujali mwananchi huyo anayoka chama gani cha siasa.
Wananchi wa Gando wapatiwa gari
22/05/2011, 25 Comments

Salma Said, WANANCHI wa Jimbo la Konde wamepatiwa msaada wa gari matatu na kanga kadhaa vyote hivyo vyenye thamani ya th ...

Waliopoteza maisha Zanzibar maandamano ya 2011 wakumbukwa
27/01/2011, 12 Comments

Na Salma Said, CHAMA Cha Wanachi (CUF) jana kimeadhimisha miaka 10 ya maombolezo ya vifo vya wananchi vilivyotokea Janua ...

Mawaziri wa CUF wazuiwa kutumia magari ya serikali
10/01/2011, 24 Comments

Chama cha Wananchi (CUF) kimewapiga marufuku mawaziri wake wanaounda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kutumia magari ya Seri ...

Tunaunga mkono mchakato wa katiba mpya – CUF
02/01/2011, 11 Comments

Na Salma Said, KATIBU Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amesema kwamba chama chake kinaunga mkon ...

MAALIM SEIF ANASTAHILI TUNZO YA NOBELI
28/12/2010, 29 Comments

Na: Malik Nabwa Mcheza kwao hutunzwa.Bila shaka hili linaeleweka vyema kwa kila mtu. Ijapo tunza yenyewe hutafautiana kw ...