Maoni kwenye: Videos

Kwa: zamko
Mbona Wazalendo og Admin

Mbona mumetuletea ujumbe huu  mfupi sana ujumbe unaoitwa  “Harakati za Waislamu na Uhuru wa Tanganyika”

Wazanzibari sikuzote wanasema kwamba Tanganyika isingepata Uhuru kama sio Ndugu zetu Waislamu wa Kitanganyika wa Mikoa ni na Pwani kuunda vilabu na kushughulikia mambo ya dini na Siasa. Nyerere na Wakristo wenziwe walibebwa na Waislamu wa Kitanganyika na baadae wakatupwa na kupuuzwa kabisa mpaka leo. Na hii ndiyo mbinu ya Nyerere na Wakristo wenziwe.

Leo hii ndani ya Bunge la Serikali ya Tanganyika hamuna waislamu au kama wamo ni Wachache sana. Muislamu Tanzania (Tanganyika) anadharauliwa na kupigwa vita kama vile yeye sio muanzishaji wa Uhuru. Sasa utasikia Chadema na CCM wanavoweka Viganda vya Kikristo ndani ya Serikali ya Tanzania.

Ukweli ndio huu tunauona Waislamu walikua wakitawala Tanganyika kwa kila Mkoa leo hii wanadharauliwa. Na Wakristo hao hao wakavuka bahari wakaja Visiwani na kuvamia, kumwaga damu ya Mapinduzi. Leo hii nashangaa na kuona moyop unanipiga nikiona hawa Watu wanaofurahia Mapinduzi na wao ni waislamu.

Tunaomba Waislamu wote wa Tanzania waungane pamoja na tuache chuki na ubaguzi tuungane pamoja. Hawa viongozi wa Serikali hawana moja. Isipokua kuuwa Uislamu na wameendelea kufaulu.

Kwa: mrfroasty
Enjoy the show, hii page kwa kweli tulikuwa na muda mwingi hatujakuleteeni…sasa ndio hiyo imeshakuja.Scroll upande wa kulia kuona video uipendayo.

Full screen na button zengine kama za sauti zipo hapo.Kama unamiliki blog pia unaweza pata embedding codes kwa ajili ya kutumia video hizo kwenye website yako.

Maasalaam,

mrfroasty