Ujumbe maalum

Kufunga matangazo

Asalaamaleykum, Tunawatangazia kufunga matangazo baada ya mwezi mmoja inshallah (2/sept/2019).Hii itatoa nafasi kwa wenzetu kupata ...
Habari

Tumsaidie huyu kijana Mzanzibari ni maarufu kwa jina la Makampas

A.Aleykum: Kuna kijana mwenzetu kafikwa n matatizo. Akifanya kazi Oman kapitia Dubai kw ndege flydubai ...
Habari

NEC imemvua uanachama Mwakilishi wa jimbo la Jangombe Abdallah Maulid ...

NEC imemvua uanachama Mwakilishi wa jimbo la Jangombe Abdallah Maulid Diwani kwa kukiuka maadili na ...
Makala/Tahariri

Kikwete angemjua vema Magufuli asingempa urais

Ansbert Ngurumo, HATA Rais Jakaya Kikwete anajilaumu kuhusu Rais John Magufuli. Rais Mstaafu Benjamin Mkapa ...