Habari

Wazee wakizanzibar kuweni makini kupeleka watoto wenu Makanisani kwa kuita skuli.

nmn
http://www.youtube.com/watch?v=l_CZlzRI2AQ

Ndugu zangu Wazanzibar agenda ya Wakristo Zanzibar ndio hio sasa inakuja juu na hakuna shaka kua Kanisa Zanzibar linafanya kila hila na mbinu ili Watoto wa Zanzibar wahilibiwe kwa mbinu yoyote ili wabadilishwe iman yao ya Uislamu na watumbukizwe kwenye Ukristo na hali hii inachangiwa na Wazee wa kizanzibar kupeleka watoto wao kwenye Makanisa wanayo yaita Skuli.

Hizi si Skuli zakusoma kiengereza ni Makanisa kuwa na agenda yao ya Siri.

Share: