Habari

Mafuta ya Zanzibar yatolewa kinyemela

12314063_1050567814977238_6391874478379684689_nHivi karibuni Maalim Seif alikwenda Dar es salaam kuonana na balozi wa China kufanya mazungumzo, wengi wetu tumeshindwa kuelewa nini kilicho kwenda kuongelewa hasa katika kipindi hichi kigumu cha mgogoro wa kisiasa, nataka niwadokozee taarifa ambayo nimepatiwa kuhusiana na mazungumzo hayo, ninacho waomba muwache jazba na kunisuta,iwe uwongo iwe ni kweli.

Kama munakumbuka kabla ya kumaliza bunge LA jamuhuri ya muungano ,kulipelekwa mswada wa sharia haraka sana bungeni kuhusiana na suala LA mafuta, mswada ule ulipigwa na ukawa kwa hali na Mali lakini walishindwa na kupitishwa kwa nguvu za ccm na Jakaya kikwete rais mtaafu Ku saini haraka haraka.

Ukisikia mshindo ujue kuna jambo, ukweli ni kwamba tuna taarifa na hii kila mzanzibari lazima ajue, kuna viongozi watatu wa juu, mmoja kutoka Tanganyika na wawili kutoka Zanzibar upande wa ccm, viongozi hawa wametiliana saini na China suala la uchimbaji wa mafuta Zanzibar, na washaweka maslahi yao kwanza, BT

Hii ndio taarifa tulizo nazo, hili jipu ni kubwa wazanzibari tunahitaji kulitumbua, Maalim Seif alikwenda kumpa tahadhari mnamo wa tarehe 9 Dec 2015 kuhusu mikataba walio tiana saini ni kinyume cha wazanzibari na utakuja kuwa ni mgogoro mkubwa.

Shukran

Share: